Msanii mpya wa wasafi, Diamond alikurupuka!

Hadi hivi tunavyozungumza gharama ya kupata show yake ni kubwa kuliko gharama ya Ibrah, Mac voice, Chino, TID, baba levo, Bill nas, Whozu, msanii wa nandi, Angela, chege, temba na wengine kibao
 
Tanga hawajambo?
 
shida hii mimi sisemi kitu ila muda ndio mwalimu mzuri ndio maan hata Zuchu alivyosainiwa mlisema mengi ooh huyu akaimbe taarabu sijui nini yaani kwa ku judge haraka haraka tupo makini
 
Watanzania umaskini unawapa tabia za hovyo sana! Stress zinawazalishia chuki,wivu,husda,kijicho na uchawi.

Wewe unaweza nini katika haya maisha zaidi ya kujaza choo na kutia/kutiwa?
 
Wewe wa kwako yupo wapi ?

"Mtoto wa kiume punguza shobo utashikwa t*ko.
 
Hadi hivi tunavyozungumza gharama ya kupata show yake ni kubwa kuliko gharama ya Ibrah, Mac voice, Chino, TID, baba levo, Bill nas, Whozu, msanii wa nandi, Angela, chege, temba na wengine kibao
Keshapanda bei tayari
 
Kasainishwa miaka mingapi, labda tuanzie hapo kwanza ili baadae asijekutafuta huruma.
 
Watanzania umaskini unawapa tabia za hovyo sana! Stress zinawazalishia chuki,wivu,husda,kijicho na uchawi.

Wewe unaweza nini katika haya maisha zaidi ya kujaza choo na kutia/kutiwa?
Kwenye ukweli lazima usemwe. Hapa wasafi walikurupuka. Walitakiwa walete artist ambaye yupo very competitive katika soko la music industry ili kuikeep label alive and working.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…