Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Kazi yake ni music sijui mnataka afanye nini?
 
MBNA wabunge huwa wanatumia coaster kwenye shughuli zao za kamati hasa kwenda mikoani??? hii we unaionaje??? just bussiness
Weka picha hapa tuone zaidi ya hapo ni uzandaki... hakuna wabunge tanzania wanaopanda costa mkoa to mkoa labda huku kwenu South Sudan na Somalia.. Pia jiulize je diamond angekua kwenye list ya fiesta wangedhubutu kumpakiza kwenye costa.. Elimu haiwezi kukubeba kwa chochote kinachombeba mtu ni u-thamani wake na ubora, ufanisi, ubunifu wa kazi dunia nzima, NOTE.. ELIMU SIO AKILI.. AKILI NI KUBWA ZAIDI YA ELIMU
 
Mngekuwa mnahudulia makanisani mngeeelewa Nikki na wenzie huwa wanamaanisha nini "fateni maneno yangu na si matendo yangu mana hakuna mkamilifu" hivyo kuongea kila mtu kabarikiwa ila katika kutenda kila mtu ni tofauti
 
Unataka akapige show za kwake mwenyewe wangapi watahudhuria mtu wakuweka ligi na fiesta na akashinda ni Diamond na J dee tu wengine wote hawana ubavu wataumia wenyewe japo wataonekana wamefanya lamaana
 
Wasomi wa Nchi hii bado hawajaitendea haki Elimu yao na hii ni kutokana na Ubinafsi uliokithiri,wengi wanafanya kwa maslahi binafsi [HASHTAG]#InaumaSana[/HASHTAG] na ninawachukia wanaojiita wasomi
 
No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
 
Hilo ni daraja ili avuke ng'ambo, kuna wakati unatakiwa kuanza chini sana ili kufikia malengo. Hakuna kosa kabisa
 

usiwe mbishi kijana bila kuwa na uhakika na unachiosema, shughuli za bunge hasa ktk kamati, kwenye suala la usafir, hutumia magari ya bunge hasa Yale ma bus, hata kama wanaenda mkoa???.. kama mbunge hatak kutumia usafir huo, hulaximika kutumia gharama zake kwa ajili ya safari, japo hawakai kama kwenye daladala. nadhan nimekuelimisha vya kutosha.. swali la ufahamu, je kuna mbunge yupi atakuwa tayar kutumia gharama zake, wakati kila siku wanalalamika posho ndogo.
 
Wasomi wa Nchi hii bado hawajaitendea haki Elimu yao na hii ni kutokana na Ubinafsi uliokithiri,wengi wanafanya kwa maslahi binafsi [HASHTAG]#InaumaSana[/HASHTAG] na ninawachukia wanaojiita wasomi
Ubinafsi unatoka wapi wakati anashare knowledge yake bure kwa free entry seminars get a life pithole
 
No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
Unataka akuulize law of Archimedes au how Oligosaccharide works?
 
nimekaa dodoma kikazi mwaka mmoja hilo jambo sikuwahi kuliona au labda limeanza enzi hizi za Kazi tuu..Pia kulalamika posho ndogo sio kukubali kupanda hizo bus..Sikubaliani na wewe 100% nipe ushahidi wa kipande cha habari kinachoonyesha transportation system inavyokua na hizo bus ziwe included kwa conditions kadhaa
 
Nlianza kumuona sio alipoanza kujiita Sweety Mangi... hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiita sweety?? Au ndo keshakuwa mwanamme wa Daslam?? Maana hadi siku hizi anaongea kidar!!
 
Ubinafsi unatoka wapi wakati anashare knowledge yake bure kwa free entry seminars get a life pithole
Itakuchukua muda sana kuelewa' sijakataa kuwa hashei knowledge yke bure,Nikuulize tu; ni wasomi wangapi leo hii wanaochukua muda wao kwa ajili ya kuwaelemisha watu Fulani kuhusu kitu Fulani? Wasomi ndio wangekua watu wa kwanza Kuongelea kuhusu Mambo muhimu mfano mambo ya GPA kupanda,(bila kuwaandalia mazingira unadhani wengi itawaokoa?) Wasomi ndio wangekua mstari wa mbele kuongea.Hujaona tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…