Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha hapa tuone zaidi ya hapo ni uzandaki... hakuna wabunge tanzania wanaopanda costa mkoa to mkoa labda huku kwenu South Sudan na Somalia.. Pia jiulize je diamond angekua kwenye list ya fiesta wangedhubutu kumpakiza kwenye costa.. Elimu haiwezi kukubeba kwa chochote kinachombeba mtu ni u-thamani wake na ubora, ufanisi, ubunifu wa kazi dunia nzima, NOTE.. ELIMU SIO AKILI.. AKILI NI KUBWA ZAIDI YA ELIMUMBNA wabunge huwa wanatumia coaster kwenye shughuli zao za kamati hasa kwenda mikoani??? hii we unaionaje??? just bussiness
Weka picha hapa tuone zaidi ya hapo ni uzandaki... hakuna wabunge tanzania wanaopanda costa mkoa to mkoa labda huku kwenu South Sudan na Somalia.. Pia jiulize je diamond angekua kwenye list ya fiesta wangedhubutu kumpakiza kwenye costa.. Elimu haiwezi kukubeba kwa chochote kinachombeba mtu ni u-thamani wake na ubora, ufanisi, ubunifu wa kazi dunia nzima, NOTE.. ELIMU SIO AKILI.. AKILI NI KUBWA ZAIDI YA ELIMU
Ubinafsi unatoka wapi wakati anashare knowledge yake bure kwa free entry seminars get a life pitholeWasomi wa Nchi hii bado hawajaitendea haki Elimu yao na hii ni kutokana na Ubinafsi uliokithiri,wengi wanafanya kwa maslahi binafsi [HASHTAG]#InaumaSana[/HASHTAG] na ninawachukia wanaojiita wasomi
Unataka akuulize law of Archimedes au how Oligosaccharide works?No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
nimekaa dodoma kikazi mwaka mmoja hilo jambo sikuwahi kuliona au labda limeanza enzi hizi za Kazi tuu..Pia kulalamika posho ndogo sio kukubali kupanda hizo bus..Sikubaliani na wewe 100% nipe ushahidi wa kipande cha habari kinachoonyesha transportation system inavyokua na hizo bus ziwe included kwa conditions kadhaausiwe mbishi kijana bila kuwa na uhakika na unachiosema, shughuli za bunge hasa ktk kamati, kwenye suala la usafir, hutumia magari ya bunge hasa Yale ma bus, hata kama wanaenda mkoa???.. kama mbunge hatak kutumia usafir huo, hulaximika kutumia gharama zake kwa ajili ya safari, japo hawakai kama kwenye daladala. nadhan nimekuelimisha vya kutosha.. swali la ufahamu, je kuna mbunge yupi atakuwa tayar kutumia gharama zake, wakati kila siku wanalalamika posho ndogo.
Itakuchukua muda sana kuelewa' sijakataa kuwa hashei knowledge yke bure,Nikuulize tu; ni wasomi wangapi leo hii wanaochukua muda wao kwa ajili ya kuwaelemisha watu Fulani kuhusu kitu Fulani? Wasomi ndio wangekua watu wa kwanza Kuongelea kuhusu Mambo muhimu mfano mambo ya GPA kupanda,(bila kuwaandalia mazingira unadhani wengi itawaokoa?) Wasomi ndio wangekua mstari wa mbele kuongea.Hujaona tu?Ubinafsi unatoka wapi wakati anashare knowledge yake bure kwa free entry seminars get a life pithole