Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
mmh lakini kweliNikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1
na hatari zaidi anaimba muziki wa hip hop anajiita sweet... huyu msanii inahitaji kuchunguzwa mienendo yakeNlianza kumuona sio alipoanza kujiita Sweety Mangi... hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiita sweety?? Au ndo keshakuwa mwanamme wa Daslam?? Maana hadi siku hizi anaongea kidar!!
sure mbabaNikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1
Nasikia Man fongo ndiye mwiimbaji msomi katika waimba visengeli wote,nasikia yeye ndiye kasoma hadi F4.Mwenye master's anaimba eti AM SWEET MANGI aisee bora nimsikilize Man Fongo darasa la 7 kitu cha hainaga USHEMEJI kiko Safiiiii
Why would you call someone a genius while he thinks like everybody else? Just because you are sorrounded by dumb people.. that doesn't make you a genius boy.. hii ndo point yangu na kwenye ukweli lazima usemwe! Acha ushabiki mandazi!Unataka akuulize law of Archimedes au how Oligosaccharide works?
Sifa za Chugani ni sifa ambazo zisingemsaidia kwenye maisha yake... Sifa za Kijinga za kupinga kila kitu na usela maviNiki ni jamaa moja wa kujikomba komba kwa wenye pesa hasa ccm
Amepoteza sifa za chugani
Nikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1
Sasa nimeelewaKasoma sociology kama SINTA wa juma necha
Ni ujinga kujiona wewe ni bora sababu umesoma kitu fulani. Kila kitu kina umuhimu wake hapa duniani acha upoyoyo.. Hizi ni tabia za watu wenye akili za ki maskini maskini...Nikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1
So if he had been called with "someone" from which grounds you got guts to insult him as if he's the one proclaimed himself to be genius????Why would you call someone a genius while he thinks like everybody else? Just because you are sorrounded by dumb people.. that doesn't make you a genius boy.. hii ndo point yangu na kwenye ukweli lazima usemwe! Acha ushabiki mandazi!
We mgeni eeh?? Chindo man hapigwi huko clouds wala hata wewe unaeza usimjue ila kakomaa kichuga chuga anasimamia misingi, anauza albamu zake mixtapes n.k n.k na yko mbali kuliko huyo msomi wenu aliepanga sinza na kuendesha passo... wenzake chuga wana studio na wanaendesha 4X4Sifa za Chugani ni sifa ambazo zisingemsaidia kwenye maisha yake... Sifa za Kijinga za kupinga kila kitu na usela mavi