Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Mbona mmejaa chuki ivi, mnachuki, wivu, fitna na husda, yani kweli mtu roho inakuuma mpaka unaandaa thread kisa wivu tu, go get a life, jaribu na ww kuimba, afu y'all dont anything about hip hop, embu tafteni vitu vya kufanya, mbona vitu ni simple tu kama haumpendi fata maisha yako, unamfatilia mtu kushinda ata dem wake anavyomfatilia.. fagz
 
Why would you call someone a genius while he thinks like everybody else? Just because you are sorrounded by dumb people.. that doesn't make you a genius boy.. hii ndo point yangu na kwenye ukweli lazima usemwe! Acha ushabiki mandazi!
So if he had been called with "someone" from which grounds you got guts to insult him as if he's the one proclaimed himself to be genius????

Hit that someone said it, Nikki has nothing to do with some genius stuff.

Pancake.
 
Usomi sio tatizo, yule ni msomi wa vitini , sio wa kupambanua mambo, mwache apige tu makelele , siku akijielewa ataacha
 
kama umeniwahi hv, nishawah kutaka kuuliza ase....

mbali zaid hana ushawishi hata kidogo
 
Sifa za Chugani ni sifa ambazo zisingemsaidia kwenye maisha yake... Sifa za Kijinga za kupinga kila kitu na usela mavi
We mgeni eeh?? Chindo man hapigwi huko clouds wala hata wewe unaeza usimjue ila kakomaa kichuga chuga anasimamia misingi, anauza albamu zake mixtapes n.k n.k na yko mbali kuliko huyo msomi wenu aliepanga sinza na kuendesha passo... wenzake chuga wana studio na wanaendesha 4X4
 
Back
Top Bottom