Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Kwenye hii dunia watu mahiri hugeka wajinga,,, na wajinga huwa confidence ,,,,, msomi graduated mbele ya msanii form4 failure hana chochote,,,,,,
 
Wanaume mnampiga Jungu mwanaume mwenzenu...halafu wanawake ndo tunaitwa wambea na wanafiki wenye wivu juu ya wanawake wenzetu.Khaaaaa!
He chose that path,nyie inawakera nini.
Kinachowafanya mseme anajifanya anajua kila kitu ni nini?? Mtu kapewa chance ya kuzungumzia vitu kulingana na upeo wake na elimu yake..huko kujifanya kunatokea wapi??
Acheni wivu wa kike!!!!!
 
Hii thread imenishangazaaa....!

Kweli effort zote hizo kumponda na hamjui any inner details za mtu wala avifanyavyo!???

Well...
Sema wewe mkuu...yaaani ni majungu ya kijiweni.
 
Kwahyo unamshauri awe Marioo kama chindo na JCB atafute demu wa kizungu amlee.... Hizo ndizo dream za kichuga .,..?
 
Watoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sana
Sio tunampondea Joh tunapondea wasanii wasiofata misingi mitano ya Hip Hop ... Dar sio issue mbona Jaymore, Songa, Nikki Mmbishi, Fid wanakubalika sana Chugga..Chugga hatutaki wasanii wa kiwack wanaotembelea nyota za Hip Hop kumbe mawaki wanaume wanaojiita watamu!!
 
Kwahyo unamshauri awe Marioo kama chindo na JCB atafute demu wa kizungu amlee.... Hizo ndizo dream za kichuga .,..?
Unawajua hao tu... Unamjua Chabba, Yuzzo, Fido, Mo plus, De wee nk nk wote hao sio maarufu wamestick kwenye misingi hawajataka kulamba miguu ya mababiloni na life yao ni far better kulko huyo msomi maarufu anaejiita switii
 
Hujui kuwa hiyo ni sehemu ya kujiajiri?
Anauza uwezo na kipaji chake cha sanaa na kuingiza mapato?
Kuna "mwajiri" na kuna "mteja"
Sijui unafahamu tofauti zake?
 
Watoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sana
We kushine unakosemea ni kuwa maarufu kwenye radio za kiwaki?? Hebu acha wivu download Application ya African Music Now ... usikilize real hip hop wenzake ambao "hawashine" wana application, studio na wanaandaa show zao wenyewe, maproject kibao ya maana ka Okoa Kitaa, SUA nk nk
 
Haters wa Clouds mnashida sana na hii Fiesta huwa inawaamshia vidonda vya tumbo kabisa.

Kwani akinyonywa wewe inakuhusu nini?

Unakuta mtu hata pesa wanayolipwa haijui lakini anabana pua "Clouds wanyonyaji"

Kwa nini msianzishe Fiesta yenu muwe mnawapa kiasi wanachostahili na muwapeleke kwa ndege maanake hizi ngonjera haziwasaidii.

Hao wasionyonywa na Clouds mbona choka mbaya tu.

Hizi nyomi za Fiesta zitawauwa kwa kihoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…