Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe mkuu...yaaani ni majungu ya kijiweni.Hii thread imenishangazaaa....!
Kweli effort zote hizo kumponda na hamjui any inner details za mtu wala avifanyavyo!???
Well...
Kwahyo unamshauri awe Marioo kama chindo na JCB atafute demu wa kizungu amlee.... Hizo ndizo dream za kichuga .,..?We mgeni eeh?? Chindo man hapigwi huko clouds wala hata wewe unaeza usimjue ila kakomaa kichuga chuga anasimamia misingi, anauza albamu zake mixtapes n.k n.k na yko mbali kuliko huyo msomi wenu aliepanga sinza na kuendesha passo... wenzake chuga wana studio na wanaendesha 4X4
Watoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sanaSema wewe mkuu...yaaani ni majungu ya kijiweni.
Makada wa chadema wazungusha mikono ndio wanajitambuaHuyo ni kada wa ccm hajitambui
Kwahiyo ameenda kutafuta mtaji wa kujiajiri fiesta? Kwani siku zingine alikuwa anakula wapi?Kwani we ulitakaje?asiende fiesta halaf hela ya mtaji wa kujiajiri ungempa wewe?au asiende fiesta kisa rubby hajaenda?...nonsense.
Sio tunampondea Joh tunapondea wasanii wasiofata misingi mitano ya Hip Hop ... Dar sio issue mbona Jaymore, Songa, Nikki Mmbishi, Fid wanakubalika sana Chugga..Chugga hatutaki wasanii wa kiwack wanaotembelea nyota za Hip Hop kumbe mawaki wanaume wanaojiita watamu!!Watoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sana
Unawajua hao tu... Unamjua Chabba, Yuzzo, Fido, Mo plus, De wee nk nk wote hao sio maarufu wamestick kwenye misingi hawajataka kulamba miguu ya mababiloni na life yao ni far better kulko huyo msomi maarufu anaejiita switiiKwahyo unamshauri awe Marioo kama chindo na JCB atafute demu wa kizungu amlee.... Hizo ndizo dream za kichuga .,..?
Hujui kuwa hiyo ni sehemu ya kujiajiri?Kijana ambaye pamoja na usomi wake na uwezo mkubwa wakuchambua mambo ya uchumi ameshaimba vibao vingi ambavyo kwa asilimia kubwa vinaamasisha vijana kufanya kazi na kuacha kuajiliwa leo hii yeye mwenyewe ananishangaza kupakiwa kwenye gari la fiesta kwa wale wanyonyaji.
Hivi yeyi mwenyewe hajijui kuwa anatumiwa na watu wasioenda shule?
Najua Nikki shule unayo kipaji unacho ya nini tena ubabaishwe ni kutojiamini tu navyoona wasanii mnashindwa na haka kabinti ka Ruby kamejitambua mapema!!
Ya nini mashabiki wakuone kila siku unazungushwa kila mkoa alafu hauna hata kiwanja ukirudi Dar hauna kitu?
We kushine unakosemea ni kuwa maarufu kwenye radio za kiwaki?? Hebu acha wivu download Application ya African Music Now ... usikilize real hip hop wenzake ambao "hawashine" wana application, studio na wanaandaa show zao wenyewe, maproject kibao ya maana ka Okoa Kitaa, SUA nk nkWatoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sana
Mh!Punguza hasira naye..ni msomi lakini ana njaa kali na hana ujanja wa kupiga pesa kwa kutumia usomi wake haina namna lazima apande costa na man fongo.