Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Unawajua hao tu... Unamjua Chabba, Yuzzo, Fido, Mo plus, De wee nk nk wote hao sio maarufu wamestick kwenye misingi hawajataka kulamba miguu ya mababiloni na life yao ni far better kulko huyo msomi maarufu anaejiita switii
Jay z anastick kwenye misingi?
 
Concept ya Hiphop uliyonayo ni ya zamani sana huko 1970's na 1990's .... Sahizi mambo yamebadilika hata Nas au Jayz wa 2016 ni tofauti na wa 1990's..

Hiphop ni biashara kubwa Sasa waache kina Joh watengeneze pesa, infact sioni kama kuna wasanii wanaitangaza Arusha hapa Tz kama Weusi Ila cha kushangaza wakienda Arusha mnawadiss... Kweli nabii hakubaliki kwao.
 
Hip hop aint change!! Kwani hao wa chuga hawatengenezi hela?? Wanazipiga kimya kimya!! Watengwa wanapiga shows kwenye mafestival mbefele, wanapiga shows za kutosha!! Project ziko mingi ushadownload application ya African Music Now?? Usikie project zao!! Wana hatua kuliko hao unaowasema wanatutangaza nje na show zao ndo maana wanaishia kumiliki vipaso... Nje tulishatangazwa na X plastaz long time
Linganisha maendeleo ya hao maarufu na underground forever hip hop mceez wa Chuga
Anyway Albamu ya Chindo Torati ya Mtaa iko on the way ina nyimbo 19..na inasambazwa kimtaa na inauzwa na watu wanamake money thats hustling ... sio kusibir promo za XXL kumake money!!
 
Nadhani wewe uliendika hapa ni ke na ninaomba iwe hivo, lakini kama ni me harafu unatumia maneno kama
Umbea
Majungu
Kimbelembele nk,
Nina mashaka na wewe.

Mimi ni Mwanamume na maneno niliyoyatumia ni ya kiswahili na kwa yeyote anayefahamu kiswahili anaelewa nina maanisha kitu gani,hayo mashaka yako sielewi yanatokana na nini kwa kuwa hunifahamu wala sikufahamu ni bora ukaweka wazi shaka uliyanayo.

Kwa kukusaidia siku ingine usiandike HARAFU uwe unaandika HALAFU hilo ndio neno sahihi.
 

Wivu tu unawasumbua hao,hawana lolote,wanatamani wawe kama hao wanaowapondea hapa, sema kwa roho mbaya zao ni vigumu kufika huko kwani jealous people never win.
 
No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
Jinias ameleta nn kipya duniani au amechalenji nn hapa duniani .au jinias wa wajinga
 
chuki, wivu ,ujinga na Mazoea kuwa ukifanya kazi ya sanaa unatakiwa usiwe msomi, Nyie mnaodharau kazi yake mlitaka afanye kazi ipi kama kazi anayofanya anaipenda na inamuingizia kipato.
Alisema ataki kazi ,hataki kuajiriwa .kaimba na wimbo kabisa .sasa kwa nn ameajiriwa nanfiesta kupiga show.si aanzishe zake kama anavosema .
 
Majungu,fitina&chuki binafsi!
 
Yani mtu akiongea jambo moja au mawili kuhusu uchumi basi ni mchambuzi wa uchumi? hivi amechambua nini kuhusu uchumi teh teh eti mchambuzi wa uchumi....hii nchi ina vituko sana
 
Hujui kuwa hiyo ni sehemu ya kujiajiri?
Anauza uwezo na kipaji chake cha sanaa na kuingiza mapato?
Kuna "mwajiri" na kuna "mteja"
Sijui unafahamu tofauti zake?
Hajajiajiri.kaajiriwa na luge amfanyie luge kazi yake alipwe ,na analipwa na luge. !inabid afute ule wimbo wake wa staki kazi aimbe natafta kazi hata za show
 
Mleta mada napingana na wewe....umewema anatumiwa na watu wasioenda shule....ruge anayesimamia mambo mengi clouds nap ga kitabu sana tu...fatilia...unless labda unafikiri kina mchimvu ndio wanaandaa kila kitu
 
Sasa alisoma history na kiswahili nayeye nae unamuita msomi..? Wasomi niwale wenye kuvumbua vitu unique ni bora hata nimepe credit jamaa yangu kule garage kwake alitengeneza helicopter ila sio hawa wa maganda ya korosho
 
Alisema ataki kazi ,hataki kuajiriwa .kaimba na wimbo kabisa .sasa kwa nn ameajiriwa nanfiesta kupiga show.si aanzishe zake kama anavosema . Msomi uchwara

Nikki wa Pili ni mwanamuziki licha ya kusoma social science.Unataka asifanye muziki afanye nini sasa ili apate fedha za kuendesha maisha yake?

Kuna msanii hapa Tanzania anayeandaa show mwenyewe bila promo kutoka kwenye media au sponsor wengine?
 
Nikki wa Pili ni mwanamuziki licha ya kusoma social science.Unataka asifanye muziki afanye nini sasa ili apate fedha za kuendesha maisha yake?

Kuna msanii hapa Tanzania anayeandaa show mwenyewe bila promo kutoka kwenye media au sponsor wengine?
Aah si alisema mwenyewe hataki kuajiriwa , ataki kufanya kazi za watu. Aorganaizi show zake binafsi kama hawezi kuoganaiz show zake binafsi inabid atutake radhi na kufuta wimbo wake wa staki kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…