Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Na fid q nae nilkuwa namkubali ila tangu aingie kwenye kampeni za ccm,,mpaka leo nimemshusha vyeo kabisa

Ndio kazi yake inayomwingizia kipato aweze kuishi, agome afe njaa?
 
Watoto wa chugga hao... Walishampondea sana Joh makini Ila bado anashine kila siku... Wakishaona msanii yupo dar inawauma sana
Unafkiri ni swala la uchuga basi, ni baadhi tu ya watu wako na negative perceptions, jelousy, chuki na roho mbaya tu, wakishaona mtu anapata mafanikio lazma waongee
 
Afu watu kama nyie ndio mnasababisha watu wa chuga waonekane wapuuzi kumbe ni we mwnywe unakua haujielewi, its like we ni msemaji wa chuga, acha mambo ya ajabu, usiwe na akili mgando, dunia inabadilika,
 
Kutoka

"..Take it easy men haukosei km ni ukiniita jobless

Nabadilisha hizo pingu kuwa neckless

Am in the hood all i need is jah bless

Niwe strong co week km breek n lace

Kimuziki nipige punch ni ngumu sio nyepesi

Am a river camp sojer let me murder dis case

Mungu niepushe na false conscioness......"
mpaka

"......ukiniuliza swali moja nna majibu hamsini

ila sina jibu kwa maswali malaini

ni baba lake kwenye flow line

na mama lake tunakunywa wine

ushanipata usiniulize why me

ni sweet manka mi nadeka mi......"

From emceeng to rapping
 
Fact
 
Afu watu kama nyie ndio mnasababisha watu wa chuga waonekane wapuuzi kumbe ni we mwnywe unakua haujielewi, its like we ni msemaji wa chuga, acha mambo ya ajabu, usiwe na akili mgando, dunia inabadilika,
We ni mandazi nini?? Angalia hyo nlikuwa namjibu nini?? Mi siongelei uchuga wala unini!! Naongelea Hip Hop misingi huyo mraks mwenzako kaja na hoja ka zako ndo nkamjibu.... its so obvious wasanii wengi waliotoka kwa Hip Hop halisi wengi ni kutoka Chuga na ikajulikana kuwa Hip Hop has base in Arusha... nnachokataa ni wasanii wengine wanaofanya mziki wa kiwaki kusafiria nyota za Hip Hop base misingi iliyojengwa kwa jasho... ka ni wa chuga nafkir unajua harakat
 
Halafu wanaojifanya wako Real ndi Mawack kinoma, nakumbuka Roma alishawahi kusema hao hao wanaokutaka ukaze. Nadra sana kukupa sapot zaid wataishia kushangilia, hawanunui wataishia kudownload nyimbo na hutawaona kwenye show. Maisha yamechange na Music pia umechange. tumechoka kuona wasanii wa hip hop wanakufa hawana hata nyumba kwao.
 
Basi vice versa is true hao maarufu unaowasema!! hawana kitu huko mjini ni mboyoyo tu... Hip hop halisi wanajitambua na mashabiki wake ni real ...wanauza sana t shirt, Albams, mix tapes, concerts, show za kubufu na bado wanafanya kazi za kijamii sio zama zile mzee.. hebu wasapoti kwa kudownload Apllication inaitwa African Music Now usikilize Hip Hop halisi sio za kiwaki mnazolazimishwa kuskiliza
 
Aah si alisema mwenyewe hataki kuajiriwa , ataki kufanya kazi za watu. Aorganaizi show zake binafsi kama hawezi kuoganaiz show zake binafsi inabid atutake radhi na kufuta wimbo wake wa staki kazi.
teh teh teh umenichekesha sana
 
Kutembea mikoa ni kuangalia fursa za huko so usimlaumu niki
 
AACHE FIESTA HALAFU AJE KULA NYUMBANI KWENU.
 
Hajajiajiri.kaajiriwa na luge amfanyie luge kazi yake alipwe ,na analipwa na luge. !inabid afute ule wimbo wake wa staki kazi aimbe natafta kazi hata za show
Nshakuelewa wewe,,,unataka nyimbo zake awe anapafom akiwa nyumbani kwake ndo utasema kajiajiri. Mimi naona kajiajiri na cloudz ni kama wateja ambao wanamuungisha
Hajajiajiri.kaajiriwa na luge amfanyie luge kazi yake alipwe ,na analipwa na luge. !inabid afute ule wimbo wake wa staki kazi aimbe natafta kazi hata za show
 
Hahah hapo kwenye " Mraks " atakua hajakuelewa akikuelewa atakaa kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…