peter palla
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 212
- 229
Na fid q nae nilkuwa namkubali ila tangu aingie kwenye kampeni za ccm,,mpaka leo nimemshusha vyeo kabisaKama aliweza kuishabikia Ccm pamoja nakujua kuwa ndyo chanzo cha shida tabu umaskini nak. sembuse kuwa chini ya Ruge