Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

Hivi naomba kujua: jamaa ni PhD ama mwanafunzi wa PhD?
 
M3 per show
 
No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
Nadhani unaufahamu uwezo wa kufikiri wa baadhi ya waTanzania, unafikiri kwanini wasimuone Nick genius!? SMH.
Nampenda Nick tho!
 
Kila mtu ana haki ya kuamua afanye nini ili mradi havunji sheria mi naona yuko sahihi
Sijui nyie mwakerwa na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…