Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni binadam tu, msiwaamini sana be u as urNiki nilikua namkubali sana lakini nikaja kungundua sio bora mala mia niki mbishi
Kwa huu uandishi una elimu gani??Ajira ni ajira tu.ulipwenkwa mwezi,kwa siku kwa kazi kwa masaa au kwa mwaka .ye alisema mwenyewe hataki kazi
M3 per showJapo uwa simpendi kwa kujifanya anajua kila kitu ila napingana na mleta mada.
Tatizo hakuna mwenye hakika nikki na wenzake wanalipwa kiasi gani ni ushabiki tu.
Hata mbele wakiwa kwente tour wanatumiaga mabasi miji hado miji unless kama wanaenda umbali mrefu.
Sasa mlitaka wawapandishe ndege wakati kuna sehemu nchi hii fiesta inatimba lakini viwanja vya ndege hakuna.
Na jambo la kushangaza unakuta anayetoa ushauri hapa kaajiliwa kwa muhindi au serikalini anaamka saa 12 asubuhi kila siku kazini anasubiri aje apokee laki nane kwa mwezi, yeye kashindwa kujiajiri na kuona anavyo nyonywa lakini anamsema mwenzake.
Nadhani unaufahamu uwezo wa kufikiri wa baadhi ya waTanzania, unafikiri kwanini wasimuone Nick genius!? SMH.No offense but huwa najiuliza usomi wa huyu kijana uko wapi! Wengine wanauita genius [emoji32][emoji32].. vi maswali anavyovipost ig ni vya kutumia common sense tu.. tatizo ni kwamba common sense is not common.. but that doesn't make him a genius!
[emoji87]mkuu! Tararibu basiNikki kasoma yale masomo mepesi ya kike unategemea nini.. Angesoma medicine. IT. Engineering. Law... Interview mademu 20 njemba 1