Msanii Mwijaku ajitolea kumlea Hamisa na Mwanae amuonya Diamond asije kumuulizia mtoto

Nani karipoti? Mie huwa napenda ligi hivyo maana zinanipa kiki za kutosha itakua wewe mwenyewe ndo ulilalamika uzi wako umekuelemea so mods wakakuhurumia maana ulikua unatia huruma kweli

Hujajibu swali
Mmeenda report uzi utiwe kufuli,waoga nyie
 
Anamtaka tu huyo dada. Wangapi ambao wana hali mbaya kiuchumi na wana watoto, mbona hajajitolea kuwasaidia?
 
Uongo hii ni post ya Fb ya Tweve Hezron.

Huyu jamaa huandika kuhusu mahusiano/ mapenzi , ndoa na maisha ya familia.
 
Ohooo naona dalili za baba wa tatu mtoto wa tatu... Safari inaendelea
 
Nani karipoti? Mie huwa napenda ligi hivyo maana zinanipa kiki za kutosha itakua wewe mwenyewe ndo ulilalamika uzi wako umekuelemea so mods wakakuhurumia maana ulikua unatia huruma kweli

Hujajibu swali
Zinakupa kiki jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…