Msanii Mwijaku ajitolea kumlea Hamisa na Mwanae amuonya Diamond asije kumuulizia mtoto

Msanii Mwijaku ajitolea kumlea Hamisa na Mwanae amuonya Diamond asije kumuulizia mtoto

Weka picha yake..hatumjui.
Huyo hapo na vidosho wake wawili.
DSC_0308.JPG
 
Nani karipoti? Mie huwa napenda ligi hivyo maana zinanipa kiki za kutosha itakua wewe mwenyewe ndo ulilalamika uzi wako umekuelemea so mods wakakuhurumia maana ulikua unatia huruma kweli

Hujajibu swali
Mmeenda report uzi utiwe kufuli,waoga nyie
 
Anamtaka tu huyo dada. Wangapi ambao wana hali mbaya kiuchumi na wana watoto, mbona hajajitolea kuwasaidia?
 
Uongo hii ni post ya Fb ya Tweve Hezron.

Huyu jamaa huandika kuhusu mahusiano/ mapenzi , ndoa na maisha ya familia.
 
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa.
  • "My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani tena. Nikimkaribia mwanao uliemkimbia, nitamtunza. :
  • .
    Kama anasoma shule ya kawaida nitampeleka Private school, kama hana nguo nzuri nitampigisha pamba za ukweli. Jumamosi usiku wewe ukiwa unakula bata na warembo wengine me nitacheza nae playstation, nitahakikisha anapata elimu bora, nitamlea katika maadili yampasayo. Kwa kuwa mama yake ulimzalisha ukadhani hana thamani tena na huku ukimpiga vita kwa kila shughuli zake ndogo za kumuingizia kipato yeye na mama yake bila kusahau mtoto.
    :
    .
    me nitamuinua viwango vya juu na kumfanya awe bosslady. Na muda nitakaokuwa nimemaliza yote, mwanao atakua akikuita UNCLE na mimi ataniita DAD, girlfriend uliemuacha atakuita KIPUSA HEARTBREAKER na mimi ataniita MIGHTY KING..i will surely erase you little Boy! tusichukuliane poa"
Ohooo naona dalili za baba wa tatu mtoto wa tatu... Safari inaendelea
 
Nani karipoti? Mie huwa napenda ligi hivyo maana zinanipa kiki za kutosha itakua wewe mwenyewe ndo ulilalamika uzi wako umekuelemea so mods wakakuhurumia maana ulikua unatia huruma kweli

Hujajibu swali
Zinakupa kiki jf?
 
Back
Top Bottom