Msanii Mwijaku ajitolea kumlea Hamisa na Mwanae amuonya Diamond asije kumuulizia mtoto



Ukiona jitu kama hili linaongea maneno asiyoyajuwa basi juwa kuwa anatafuta kick au hana uwezo wa kuzaa. Hamisa anakimbiwa na wanaume kwa sababu ni kicheche asiyejitambua. HAKUNA mwanamme anayeweza kuoa HAMISA kwa sababu hakuna anayetaka kuchapiwa kutokana na demu mwenyewe kutojithamini na kukosa msimamo. Mtu analilia umaarufu kwa kupitia michango ya watu, si ujiga huu? Hivi huyu Hamisa ana Mama au hata ndugu wa kumpa mawazo tu?
 
motto wa Diamond anajulikana zaidi kulko huyo msanii MWANJUKI anatafuta kujuikana tu!
 
Laana mpk kizazi cha nne Diamond babake si alimkataa mzizi unaendelea.
 
Aliyesema Diamond anakimbia majukumu Nani huyo mwijagu asijihashue alishawahi kuona watoto wa mke na side chick wakawa sawa? Kila mtu Apambane na Hali yake
 
MWAnjiku ndio nani?tafadhali anayejua anifahamishe.
 
Mwijak
Mwijaku ndo nani? Jina lenyewe limekaa kama la sehemu za siri....
 
Kuna harufu ya team za kibongo bila shaka.
 
Bongo kuna wasanii wengi sana! Huyu majaku ni msanii wa sanaa gani!?
 
Mtu mzima huyo tayari aisee ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…