Msanii Mwijaku ajitolea kumlea Hamisa na Mwanae amuonya Diamond asije kumuulizia mtoto


Kwa nini hamsemi yule mwingine? Huyu hamisa anazaaga kila mtoto na babake. Msimu kama huu waka unaofuata, naye atakuwa amezalisha na kusepa!. Hapa anatafuta gia ya kuingilia kuona nini kinawafanya wanaume wenzake wazalishe na kuingia mitini.

Lakini jambo la msingi ni kwamba huyu msichana anajiharibia maisha kwa tabia zake za kiswahili cha kipumbavu. Anatabia za kipumbavu sana kiasi hakuna mtu msitaarabu atadumu naye. Pengine apate mshamba mshamba mswahili mwezake.

La pili, kwa watoto wanaozaliwa namama ambaye kichwani hazimo, unaweza kumaliza shule zote na ukatumia fedha zako zote kulipia gharama za shule lakini wasisaidike. Kusoma ni akli. Mama kichwani sifuri, unategemea kwa 100% atazaa watoto wenye uwezo wa kusoma?

Ushauri wangu, hao wa baba waliozaa naye, watambue walizaa na juha. Hivyo wanahitaji kutumia nguvu kubwa mmno katika kuboresha maisha ya watoto waliozaa naye. Njia pekee ya kufanikisha angalau kwa sehemu, ni kuwachukua hao watoto,ili kuwalea katika mazingira yenye mwanga. Kumbuka mtu hukua kwa misingi ya kurithi ama mazingira. Mirathi ya ufahamu kwa upande wa mama sifuri. Wakiwachukua wangali wadogo, wanaweza kupata misingi yenye muelelkeo kutokana na mazingira watakayokulia. La sivyo, kumwachia mabeto alee watoto, aliowazaa peke yake, tegemea vichwa hoho kama upeo wa mama yao.
 
Mwijaku bwana amuhamishe kwanza yule single mother wake pale tigo customer care maana mdada anenepi kisa stress za wateja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
 
Kumbe kwa hamisa ya mtandaon ya uongo ila kwa zari ya mtandaon ya ukweli aiseeee
Kwani majizo hatoi matumizi
Daimond hatoi matumiz au we unafata ya mtandaoni
Hamisa anapendeza bure tu
 
Yeah dully handsome. Mie siwez mtukana mtoto(i think u mention dully for this purpose sorry) mtoto ni malaika hana kosa.
Yaan dai asitoe matumizi kwa dully ,,,halaf dully handsome kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…