Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nonsense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana andika Msanii Mwijaku baada ya kuona mahangaiko ya Hamisa.
- "My brother unaekimbia majukumu yako, usiniache kabisa nikamkaribia girlfriend wako uliemzalisha na kumkimbia ukidhani hana thamani tena. Nikimkaribia mwanao uliemkimbia, nitamtunza. :
- .
Kama anasoma shule ya kawaida nitampeleka Private school, kama hana nguo nzuri nitampigisha pamba za ukweli. Jumamosi usiku wewe ukiwa unakula bata na warembo wengine me nitacheza nae playstation, nitahakikisha anapata elimu bora, nitamlea katika maadili yampasayo. Kwa kuwa mama yake ulimzalisha ukadhani hana thamani tena na huku ukimpiga vita kwa kila shughuli zake ndogo za kumuingizia kipato yeye na mama yake bila kusahau mtoto.
:
.
me nitamuinua viwango vya juu na kumfanya awe bosslady. Na muda nitakaokuwa nimemaliza yote, mwanao atakua akikuita UNCLE na mimi ataniita DAD, girlfriend uliemuacha atakuita KIPUSA HEARTBREAKER na mimi ataniita MIGHTY KING..i will surely erase you little Boy! tusichukuliane poa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu yako tuHivi masikio popo kazaa na mwanaume mmoja?
Kwani majizo hatoi matumiziHaya jibu hapa
Swali lako
Daudiiiiiiiiii hhhhaaayes kweli Zari ni mzuri ndiyo maana low life chick wamepandishwa kitandani kwake na wakapatia mimba hapo-hapo.
Kwani majizo hatoi matumizi
Daimond hatoi matumiz au we unafata ya mtandaoni
Hamisa anapendeza bure tu
Yaan dai asitoe matumizi kwa dully ,,,halaf dully handsome kweliKumbe kwa hamisa ya mtandaon ya uongo ila kwa zari ya mtandaon ya ukweli aiseeee
Yaan dai asitoe matumizi kwa dully ,,,halaf dully handsome kweli
Msanii Mwijaku ndio nani?