Je ! hiyo biashara ya huo muziki anaoufanya kwa sheria za dini ni " HALAL" Kama ndio good job na amepata thawabu zake, kama sio wanazuoni wanazungumziaje kuhusu zawadi hiyo waamini waliopwa ila wawe wanaswalia hapo?
Mtu anapofanya jambo la kheri mlipaji ni mungu ndie atakae amua uhalali na ukharamu wake sisi tunaweza kudhania tu siri ni yeye na mungu,mpeni moyo siku moja atavua hirini na vidani.