Msanii namba mbili Tanzania amemfunika vibaya French Montana kwenye kolabo

Msanii namba mbili Tanzania amemfunika vibaya French Montana kwenye kolabo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Msanii namba mbili nchini bwana mdogo Diamond Platinumz amemfunika vibaya French Montana katika kolabo yao waliorekodi mwezi uliopita nchini Marekani.iliyopewa jina la NYC to DSM. Tuliopata nafasi ya kuisikia kolabo hiyo pale WCB tumefurahishwa na uwezo alionesha Diamond Platinumz na hata kufanya tujiulize maswali mengi 'Je hali ingekuwaje kama hiyo nafasi angekaa msanii namba moja nchini,Ali Kiba? si Montana angestaafu mziki?'.
Kila la kheri mziki wa nyumbani
 
Kwa kipi kilichoimbwa hasa cha kumfunika french montana.........
 
Wanasema chokochoko mchokoe pweza,ila WCB .......
 
Mna mioyo migumu ya kumlinganisha CHIEF KIUMBE na BAKHERESA, mnabidi mkubali mondi mtu mwingine kabisa yaani halinganishwi wala kufananishwa na msanii yoyote tz na nyie mnajua bila mbereko Kutoka kwa diamond platnumz msanii wenu sasa hivi angekuwa hoi bin taabani, na hata yy mwenyewe anaomba mungu amuweka juu diamond platnumz ili aendelea kubebwa.
 
Kanumba aliyezaliwa upya katika sanaa ila kabadilisha fani na kuwa mwanabongofleva ni DIAMOND lakini yule mwana wa DAR yeye ni kama RAY mnywa maji na kuwaka.

Tulishuhudia mvutano mkubwa kati ya Ray na Kanumba na Kanumba alikubalika sana kushinda Ray lakini alipokuja kutoweka tu PENGO LAKE LILIONEKANA MPAKA LEO HII UKIANGALIA BONGO MOVIE HAINA MVUTO,UKITUMIA SAA MOJA KUANGALIA UTUMBO WAO WEWE UTAKUWA HUNA KAZI YA KUFANYA.

NI HARAMU KUPOTEZA MUDA KWA KUMLINGANISHA DIAMOND NA ALIKIBA,ILA SASA DIAMOND NI MFANYABIASHARA YA MUZIKI NA AMEIPATIA SANA LAKINI HUYU ALIKIBA NI MWANAMUZIKI HALISI HAKUJITENGENEZA.

Kama ni kupiga kura kumchagua mwanamuziki aliyeweza kufanya bongefleva kuwa AJIRA basi kete naitupa kwa DIAMOND ila kama ni mwimbaji mahiri basi ni KIBA.
Ila kuna kitu tunatakiwa kukielewa alikiba yuko juu kuliko diamond lakini diamond amekuja katika zama ambazo alikiba amedai kuwa alikuwa anapumzika na kipindi hicho sasa social networks ZIKAMBEBA RAIS wa bonge fleva diamond kindakindaki mpaka international level.

Tunapaswa kuelewa kuwa hata KIKWETE NI RAIS LAKINI SIO KWA SASA. KILA MFALME NA ZMA ZAKE.

MSISUBIRI AFE ILI MJITIE MACHOZI YA UNAFIKI MOND YUKO JUU INGAWA MIMI NI TEAM KIBA.
 
Msanii namba mbili nchini bwana mdogo Diamond Platinumz amemfunika vibaya French Montana katika kolabo yao waliorekodi mwezi uliopita nchini Marekani.iliyopewa jina la NYC to DSM. Tuliopata nafasi ya kuisikia kolabo hiyo pale WCB tumefurahishwa na uwezo alionesha Diamond Platinumz na hata kufanya tujiulize maswali mengi 'Je hali ingekuwaje kama hiyo nafasi angekaa msanii namba moja nchini,Ali Kiba? si Montana angestaafu mziki?'.
Kila la kheri mziki wa nyumbani
Yeah right.......Diamond is second to none!
 
Sio namba mbili au namba moja..collabo na Montana ndo ingekuw habari kama ni ya kweli..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida overrated[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom