MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Msanii namba mbili nchini bwana mdogo Diamond Platinumz amemfunika vibaya French Montana katika kolabo yao waliorekodi mwezi uliopita nchini Marekani.iliyopewa jina la NYC to DSM. Tuliopata nafasi ya kuisikia kolabo hiyo pale WCB tumefurahishwa na uwezo alionesha Diamond Platinumz na hata kufanya tujiulize maswali mengi 'Je hali ingekuwaje kama hiyo nafasi angekaa msanii namba moja nchini,Ali Kiba? si Montana angestaafu mziki?'.
Kila la kheri mziki wa nyumbani
Kila la kheri mziki wa nyumbani