little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
"Ndugu waandishi nawashukuru sana na huwa siyo rahisi kunihoji ana kwa ana, kwasababu mi na media kitambo tushaachana walipoanza tu kuwapa nafasi mapimbi na kuwabagua wanaojua kisa hawana shilingi"- MaalimAna watu wake anaowauzia album na ana watu wake anaowafanyia Show, huwezi kumuelewa Nash hata siku moja km humfuatilii vizuri, alafu usisahau Nash sio Zuchu anaepakwa mate watu wanaingiza nyoka Pangoni
Nime react "love" kwa comment kutokana na hizo replies za Nikki Mbishi kwenye hiyo screenshot, na sio hayo maneno uliyoyaandika.Wasanii wa HipHop kibongo bongo ni wabishi kwelikweli. Yaani unapoleta mambo za kumshauri afanye kitu kulingana na wakati unatakaje, anaona kama unamtoa kwenye reli na hivyo anakujibu kuonesha kuwa anachokifanya ndicho sahihi - JIWE type.
Mwaka 2015 niliwahi mwambia Nikki Mbishi aka Zohan kubadili muundo wa muziki wake na kuufanya kibiashara akaleta majibu kama hizo kuwa anafanya kwa wanaopenda na sio kwa wote. Ajabu, role model wao unakuta ni Dr. Dre ambaye sasa anafanya nyimbo za kuendana na wakati ila wao hawataki, wanakomaa na 'misingi', sishangai Nash Mc kukataa kuuza album kisasa, ni utaratibu wao 'ku-keep it real.'
Nilimwambia mwamba, ila aliniona hamnazo eti hao jamaa wanapiga mpunga mrefu sana tu kwa kuuza kwao whatsapp.Labda sio hela itokanayo na muziki lakini hela ya muziki haijifichi maana takwimu ziko wazi.
Alishaimba Nyakati za Mashaka akiwa Sister G Matata ndio km hizi mkuu, new generation inataka iimbiwe mziki wao kwa regeneration yao wenyeweNime react "love" kwa comment kutokana na hizo replies za Nikki Mbishi kwenye hiyo screenshot, na sio hayo maneno uliyoyaandika.
Hivi ndivyo mnavyostahili kujibiwa watu wa aina hii
Dr Dre akifanya haina maana na mwingine inabidi afanye, why usijuilize kwanini Dr Dre hafanyi kama Nikki mbishi?
Wakina Boshoo wanaimba hizo unazozitaka wewe tena kwa lyrical nzuri kuliko hao mainstreams, lakini kuna uwezekano ukawa hata humjui
Na hata kama unamjua basi humfuatilii
Kilichofanya wewe mpaka ukamhua Nikki ni aina hiyo ya muziki ambao unataka abadilike
Ukiona kama hafanikiwi basi angalia hao wasanii wa mtaani kwako wanaobana pua utaona wanatamani kufikia level yake
Kwanini hawajulikani kiasi wanazidiwa fame na Nikki wakati wanaimba soft ambazo wewe ndio unaona zinabamba?
Ana watu wake anaowauzia album na ana watu wake anaowafanyia Show, huwezi kumuelewa Nash hata siku moja km humfuatilii vizuri, alafu usisahau Nash sio Zuchu anaepakwa mate watu wanaingiza nyoka Pangoni
Muziki ni watu na watu ndo hela yenyewe.Nilimwambia mwamba, ila aliniona hamnazo eti hao jamaa wanapiga mpunga mrefu sana tu kwa kuuza kwao whatsapp.
Niliishia kushangaa tu.
500 × 30,000 = ?!Muziki ni watu na watu ndo hela yenyewe.
Hauwezi pata hela nyingi una wafuasi 500 whatsapp uzidi yule ambaye wano-stream ni zaidi ya 200M huko audiomack, boomplay n.k
Mchiz mwenye hiphop ngumu very against the systemUnamjua Immortal technique?
Acha ujinga hapati pesa ya maanaAna watu wake anaowauzia album na ana watu wake anaowafanyia Show, huwezi kumuelewa Nash hata siku moja km humfuatilii vizuri, alafu usisahau Nash sio Zuchu anaepakwa mate watu wanaingiza nyoka Pangoni
Msanii ni mtu wa namna gani?Hamna msanii hapo
Huyu bwana sidhani kama anapata hela ya kufanyia kazi zake za sanaa kwenye muziki ila nadhani ana njia zake nyingine za kumpa mkate wa kila siku.
Sijawahi sikia akifanya show au akiuza kazi zake kwa njia za kisasa.
Tumuombe arudi kijijini kwao Chigugu huko Masasi akapate upya ushauri wa wazee huenda akabadilika
🤣🤣🤣Hard oi oi
Basi kama huo wote ni mzigo wa flash zilizojaa kazi zake, huyu bwana akiuza zote kwa bei hiyo anatisha.
Basi sawa.Basi kama huo wote ni mzigo wa flash zilizojaa kazi zake, huyu bwana akiuza zote kwa bei hiyo anatisha.
Ila hiyo bei ya 25k @ flash inanipa wasiwasi kama ana washabiki wa kuweza nunua kazi zote.
Hivi akiuza whatsap kuna namna anaizuia ili usimtumie mtu mwengine? Au inakuwaje kulinda nyimbo zake zisiwafikie ambao hawajalipaSiyo Nash tu, hata Niki Mbishi pia anauza nyimbo zake whatsap. Mimi simshangai hapo, kwani ameona ndio njia inayofaa na inampatia kipato kzuri.
Ninazungumza na Niki, na juzi nimennua Album ya kigu. Ukimuuliza Niki anakwambia kuuza direct mwenyewe anaona inamlipa na inamuongezea mashabk kla siku.
Namimi nilitaka nihoji hiviHivi akiuza whatsap kuna namna anaizuia ili usimtumie mtu mwengine? Au inakuwaje kulinda nyimbo zake zisiwafikie ambao hawajalipa