Msanii Nash MC kwanini hataki kubadilika kuwa msanii wa kisasa?

Mshauri pia awe anaoga na kuvaa vizuri anatia kinyaa
 
Muziki ni watu na watu ndo hela yenyewe.
Hauwezi pata hela nyingi una wafuasi 500 whatsapp uzidi yule ambaye wano-stream ni zaidi ya 200M huko audiomack, boomplay n.k
Watu 500 WhatsApp wakinunua album tsh elfu kumi kila mmoja,mapato yake in zaidi ya streams million 1 za boomplay ...usijifanye unakua biashara ambayo huifanyi..digital platforms zinalipa kidogo sana,kwa watu wanao generate viewers wachache kama rappers wa tz bora wauze direct
 
Wadau ikiwapendeza pitieni na humu na ku subscribe kwenye channel yangu..

 
Ushanunua albam mkuu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
huyo jamaa ni muhaya anayejiona kawazidi wote alafu ni mshika dini
 
Wewe ndio mshamba na Hakuna unachokifahamu kuhusu biashara ya Muziki. Anachokifanya Nash Mc kimeshafanywa na wengi sana hata huko Duniani. Nippsey Hussle, Immortal Technique, Zuby, KRS One, Rakim na wengine kibao ndio wanafanya hivyo kwa kuuza kazi zao wenyewe. Huko sijui Boom Play,Mkito, Spotify nk kuna unyonyaji sana na wanaofaidika zaidi ni wenye hizo platform na watu wa kati(Mameneja na Madalali wa Music).
Nash MC anauza mziki wake kwa Package moja ya Album kwa Tsh 25,000/= akifanikiwa kuwauzia watu 1000 tu nadhani utakuwa unafahamu pesa atakayopata kama faida lakini huko unakotaka wewe akaweke muziki wake unafahamu copy ya Album moja yeye anapata sh ngapi au hujui?
Fanya utafiti kabla hujakurupuka kuandika upupu.
 
Kwani anakula kwako ?
 
Huko boomplay unalipwa sh ngap kwa nyimbo au downloads?

Je Hawa blogger wa bongo wanaziweka tunashusha for free hapo inakuaje
 
Ana watu wake anaowauzia album na ana watu wake anaowafanyia Show, huwezi kumuelewa Nash hata siku moja km humfuatilii vizuri, alafu usisahau Nash sio Zuchu anaepakwa mate watu wanaingiza nyoka Pangoni
Hamna kitu kama hicho.... Jamaa choka mbaya tupo naye kitaa .... Music haujifich. Achen uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…