Msanii Ney wa mitego aumbuka vibaya

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Hakuna mtanzania asiyejua ya kwamba msanii wa muziki wa bongofleva Emmanuel Elibariki a.k.a Ney wa mitego kafungiwa na BASATA kwamba asijihusishe na muziki kwa muda usiojulikana.

Kwanza niseme tu hongera kwa kufungiwa kwa sababu huyu jamaa alikuwa anakera watu sana kwa nyimbo zake zisizoeleweka mlengo wake ilikuwa ni nini hasa?

Nyimbo nzima kusemasema watu tu,sasa ndio muziki gani huo?.sasa unajua ni kwa nini nakwambia kaumbuka? Ni kwa sababu huu wimbo wake wa mwisho kuutoa unaoitwa pale kati patamu ,ukiusikiliza utaelewa wazi kwamba alikuwa anatafuta KIKI kama aliyopata Snura na wimbo wake wa chura.

Sasa Ney alidhani na yeye ataitwa na media zote kufanya interview lakini kinyume chake hakuna hata chombo cha habari chic hire kilichomwita wala nini,na hata habari yake ya kufungiwa wala haijawa gumzo kabisa kwenye vyombo vya habari kama alivotegemea yeye.

Na hii ni kwa sababu clouds media walipotezea so hata media zingine zikapotezea pia.

Pole sana Ney
 
Kwa hiyo clouz wasingepotezea hata media zingine zisingepotezea ila wamepotezea na media zingine wamepotezea!!
BAASI SAWA!!!
 
Let by gone be by gone achapwe viboko 12 hadharani pale posta round about kisha wimbo wake huo mbovu ufungiwe, matamasha na shoo afanye ili wanae waendelee kwenda choo, au apigwe faini ya Tsh akigoma kuchapwa
 
Let by gone be by gone achapwe viboko 12 hadharani pale posta round about kisha wimbo wake huo mbovu ufungiwe, matamasha na shoo afanye ili wanae waendelee kwenda choo, au apigwe faini ya Tsh akigoma kuchapwa
Kweli mkuu, ila me napendekeza aukumiwe viboko 365 awe anacharazwa kila siku kimoja kwenye maeneo mbali mbali ya mwili tena sehemu tofauti jijini dar na mikoani ili iwe fundisho
 
watu Mna roho mbaya hv ni ney peke yake ndo mziki wake hauna maadili
kina shilole wanavyocheza uchi mbona hawafungiwi?akifungiwa asipofungiwa we unanufaika na nn?!!
kweli adui wa mtanzania ni mtanzania mwenzie!!
acheni roho mbaya nyieee!hamnufaiki na chochote!!
 
Afungiwe tu mshamba sana yule jamaa...alidhani tupo awamu ya makada wa msoga?
 

Nilicho gundua msanii akifungiwa nyimbo zake zinapata Kiki watu wanasaka kusikiliza, mbona kwenye daladala tunasikiliza Ngoma za Ney waMitego
 
Jamani muoneeni huruma anafamilia ya watoto wawili na mama yake mzazi anamtegemea
Jamaa alisema ana Bilion 1 bank akazitumie! kwanza huyu jamaa yaani miziki yake sijui ni style ipi ya mziki anaoimba! Aende akarithi kiti cha Jerry Muro ni kiropo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…