juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Hakuna mtanzania asiyejua ya kwamba msanii wa muziki wa bongofleva Emmanuel Elibariki a.k.a Ney wa mitego kafungiwa na BASATA kwamba asijihusishe na muziki kwa muda usiojulikana.
Kwanza niseme tu hongera kwa kufungiwa kwa sababu huyu jamaa alikuwa anakera watu sana kwa nyimbo zake zisizoeleweka mlengo wake ilikuwa ni nini hasa?
Nyimbo nzima kusemasema watu tu,sasa ndio muziki gani huo?.sasa unajua ni kwa nini nakwambia kaumbuka? Ni kwa sababu huu wimbo wake wa mwisho kuutoa unaoitwa pale kati patamu ,ukiusikiliza utaelewa wazi kwamba alikuwa anatafuta KIKI kama aliyopata Snura na wimbo wake wa chura.
Sasa Ney alidhani na yeye ataitwa na media zote kufanya interview lakini kinyume chake hakuna hata chombo cha habari chic hire kilichomwita wala nini,na hata habari yake ya kufungiwa wala haijawa gumzo kabisa kwenye vyombo vya habari kama alivotegemea yeye.
Na hii ni kwa sababu clouds media walipotezea so hata media zingine zikapotezea pia.
Pole sana Ney