BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mkuu kama ulikua haufahamu vijana wengi wanaingia kwwnye madawa sababu ya stori za mtaani kwamba ukipiga hio kitu unakua na uwezo wa kupiga mzigo ( kumla demu bila kuchoka, kuchelewa kutema wazungu) hivyo wengi huingia humo asilimia kubwa ya vijana wameingia kwasababu hio ingawa na sababu ulizoziseka hapo poa zinachangiaNaweza nikaamini kwa vigezo vifuatavyo;
1. Stress (from hero to zero/kutoka kuwa msanii mkubwa hadi kuwa raia wa kawaida)
2.Mafanikio zero; wasanii wa zamani hawakufanikiwa kuwekeza zaidi kwenye muziki wao (walijisahau pia) So, anajilaumu moyoni kitu kinachopelekea atumie ngada kupooza machungu!
3.Umaarufu wake umepotea; hapa tunaomjua Q Jay ni watu tuliofuatilia mziki kuanzia 2008 kushuka chini...vijana wengi wa sasa hawamfahamu so anajuta kupoteza jina lake!
Kwa mtazamo wangu ni hayo tu!
Darasa ameniumiza sana moyo.So DARASA + Q JAY= UDAGA Mbona mi nilisikia kaokoka huyu Q jay
Sio kweli wengi wanataka kupoza stress na kutumia kunaanza baada ya kujiingiza kwenye biashara ya kuuza akiwa na imani hatotumia ila in long run unakuta anaanza kujaribu bidhaa yake kwa kuonja mzigo kama OGMkuu kama ulikua haufahamu vijana wengi wanaingia kwwnye madawa sababu ya stori za mtaani kwamba ukipiga hio kitu unakua na uwezo wa kupiga mzigo ( kumla demu bila kuchoka, kuchelewa kutema wazungu) hivyo wengi huingia humo asilimia kubwa ya vijana wameingia kwasababu hio ingawa na sababu ulizoziseka hapo poa zinachangia
Kama haikua hiari yake bs Dgo ni mpuuzi....na yawezekana hyo dem mwenyewe sasa kaanza na kumsaliti mshkaji.mleta mada huyo dogo si nilisikia ni mlokole wa kutupwa?... nakumbuka mwaka kati ya mwaka 2015 au 2016 nimsikia akihojiwa na dullah wa east africa radio, akikiri kwamba yeye kwa sasa ni mlokole na wala hatakuja tena kuimba bongofleva.
baadae nikaja kusikia story mtaani kuwa aliingia kwenye ulokole kwa shinikizo la wakwe zake. yaani alipata mke halafu wazazi wa mke watoa sharti lazima aokoke ndio aweze kumuoa mtoto wao.
Huyu si alisema ameokoka hadi akaacha mziki wa dunia na akaoa mwanamke toka familia ya kilokole akawa anafnaya kazi kampuni flani ya kufunga majukwaaMsanii aliyekuwepo kundi la wakali kwanza aliyekuwa anafahamika kwa jina la QJay ameingia kwenye wimbi la madawa y kulevya.
Q Jay amekuwa mlevi kupindukia na anatumia madawa ya kulevya.
Uteja haujifichi, ni swala la muda tu.