Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
Yeah nakumbuka mahojiano yake dullah ch 5,,alikataa kuimba nyimbo zake za zamani kisa ulikole wake.mleta mada huyo dogo si nilisikia ni mlokole wa kutupwa?... nakumbuka kati ya mwaka 2015 au 2016 nilimsikia akihojiwa na dullah wa east africa radio, alikiri kwamba yeye kwa sasa ni mlokole na hatakuja tena kuimba bongofleva.
baadae nikaja kusikia story mtaani kuwa aliingia kwenye ulokole kwa shinikizo la wakwe zake. yaani alipata mke halafu wazazi wa mke wakatoa sharti lazima aokoke ndio aweze kumuoa mtoto wao.
inawezekana pia kaingia kwenye matumizi ya madawa kutokana na stress za ndoa baada kugundua ndoa imempotezea mda wake.
hivi mallow kapotelea wapi?... nasikia na yeye aliacha mziki kwa masharti kama hayo ya q jay.
Sent using Jamii Forums mobile app