Msanii Q Jay aingia kwenye madawa ya kulevya

Msanii Q Jay aingia kwenye madawa ya kulevya

Naweza nikaamini kwa vigezo vifuatavyo;
1. Stress (from hero to zero/kutoka kuwa msanii mkubwa hadi kuwa raia wa kawaida)

2.Mafanikio zero; wasanii wa zamani hawakufanikiwa kuwekeza zaidi kwenye muziki wao (walijisahau pia) So, anajilaumu moyoni kitu kinachopelekea atumie ngada kupooza machungu!

3.Umaarufu wake umepotea; hapa tunaomjua Q Jay ni watu tuliofuatilia mziki kuanzia 2008 kushuka chini...vijana wengi wa sasa hawamfahamu so anajuta kupoteza jina lake!

Kwa mtazamo wangu ni hayo tu!
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Kama ni kweli pole yake.
Ila hawa wasanii (old bongo fleva) wanahitaji sana ushauri nasaha hasa ya kukubaliana na hali zao, kwamba nyakati zinabadilika. Na huwezi kuwa juu muda wote, muhimu kuwekeza na kujijenga hasa fedha zinapokutembelea. Wakati ni ukitaka
[emoji106]
 
Yupo Mkoani Kama sio Iringa/Mbeya ni Mlevi wa kupindukia nasikia anapiga Show za Buku Buku kwenye Ma_BAA.
 
Nimesikia hii issue bwana kutoka kwa Makamua akihojiwa Clouds, jamaa inasemekana alikuwa analala stand yeye na watoto wake wawili sasa sijui aliachana na mkewe, then baadae watoto wakasafirishwa kwa basi wakapelekwa kwa mama yao kupimwa ikagundulika hawako sawa so QJay akakamatwa akawekwa ndani ila watoto wkaja mtetea kuwa siyo yeye aliyewafanyia vitendo hivyo huenda walifanyiwa wakati wanalala stand
 
Mkuu kama ulikua haufahamu vijana wengi wanaingia kwwnye madawa sababu ya stori za mtaani kwamba ukipiga hio kitu unakua na uwezo wa kupiga mzigo ( kumla demu bila kuchoka, kuchelewa kutema wazungu) hivyo wengi huingia humo asilimia kubwa ya vijana wameingia kwasababu hio ingawa na sababu ulizoziseka hapo poa zinachangia
hii hoja yako" nilishawahi kuisikia zamani" magomeni mitaa ya sunna" vijana walikuwa waki shauriana huo ujinga
 
Sio kweli wengi wanataka kupoza stress na kutumatumia kunaanza baada ya kujiingiza kwenye biashara ya kuuza akiwa na imani hatotumia ila in long run unakuta anaanza kujaribu bidhaa yake kwa kuonja mzigo kama OG
hoja aliyoitoa Jamaa" ipo sahihi" .. nikweli kuna vijana wengine huwa wanajiingiza kwenye hayo matumizi kwaajili ya kuchelewa kufika kilele cha kibo"....

but ulichokiongea wewe pia" ni moja wapo ya njia ambazo huwa zinawafanya wafikie huko". .. ila mara nyingi sababu huwaga ni kujisikia kuchoka kwa mwili pindi wanapokuwa wametoka kuushusha mzigo waliobebeshwa " so kinachofuata huwa wanashauriwa wavute " unga ili kuweza kuondoa ile hali ya uchovu " waliyonayo" Mwisho wa siku ndio huwa tunasikia kama hivi kuwa darasa/ chid Benz gari limewaka " (kawa Mteja)
 
Kama haikua hiari yake bs Dgo ni mpuuzi....na yawezekana hyo dem mwenyewe sasa kaanza na kumsaliti mshkaji.

Hiv ndo kupenda gani huko wanaume wenzangu
huko kuna itwa kupenda sana" ukiwa wakosoa " wanakwambia " hujawahi kupenda"...... alaaaa kumbe mantiki ya kupenda inamtaka mpendaji" asitumie akili yake vyema katika maamuzi"" na kukubali kuwa mjinga"... kama ndio hilo basi mapenzi mimi yamenishinda
 
lile kundi lao sidhani kama yupo mwanamziki aliyefanikiwa. nasikia makamua na yeye ni pombe mtu.
hahahaa mack kamua ndio usiseme " nilikuwa namuona sana M/nyamala aiseee" ni huruma kwakweli
 
Sio kweli wengi wanataka kupoza stress na kutumia kunaanza baada ya kujiingiza kwenye biashara ya kuuza akiwa na imani hatotumia ila in long run unakuta anaanza kujaribu bidhaa yake kwa kuonja mzigo kama OG
Sasa jaribu kukaa na mateja wengi halafu ndo utajua nilichokisema kwamba ni kweli au sio kweli
 
Nimesikia hii issue bwana kutoka kwa Makamua akihojiwa Clouds, jamaa inasemekana alikuwa analala stand yeye na watoto wake wawili sasa sijui aliachana na mkewe, then baadae watoto wakasafirishwa kwa basi wakapelekwa kwa mama yao kupimwa ikagundulika hawako sawa so QJay akakamatwa akawekwa ndani ila watoto wkaja mtetea kuwa siyo yeye aliyewafanyia vitendo hivyo huenda walifanyiwa wakati wanalala stand
duuuuhh " OMG what is this kind of life""...!!!
 
Moja kati ya Vijana waliokuwa na vipaji sahihi vya kufanya Muziki.

Sijajua inakuwaje mtu hadi anasadikika kuwa anatumia Dawa za kulevya na Vyombo vya dola visimbane akasema wapi anatoa hayo madawa.
Hio Biashara Networks zake zina Mizizi ivo Vyombo vya dola ukisikia vinapiga kelele basi jua vinahangaika na Ma pusha tu, Dealers wakubwa ni Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawako sawa kiaje mkuu?..HIV+/wameathirika na dawa za kulevya,
Nimesikia hii issue bwana kutoka kwa Makamua akihojiwa Clouds, jamaa inasemekana alikuwa analala stand yeye na watoto wake wawili sasa sijui aliachana na mkewe, then baadae watoto wakasafirishwa kwa basi wakapelekwa kwa mama yao kupimwa ikagundulika hawako sawa so QJay akakamatwa akawekwa ndani ila watoto wkaja mtetea kuwa siyo yeye aliyewafanyia vitendo hivyo huenda walifanyiwa wakati wanalala stand

Sent from my HUAWEI P6-U06 using Tapatalk
 
Hawako sawa kiaje mkuu?..HIV+/wameathirika na dawa za kulevya,

Sent from my HUAWEI P6-U06 using Tapatalk
Hapo sasa hata Makamua hakueleza na mtangazaji alikuwa perfect chrispin hakumchimba hata mimi nimebaki nawaza hivi nawaza vile...
 
Taarifa hii ina ulakini hakuna source wala habari picha. Haina tofauti na maneno ya kuzusha
 
Back
Top Bottom