Msanii Q Jay wa wakali kwanza kurudi tena kwenye game

Kagi Rasta

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
264
Reaction score
441
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasema kwamba anarudi tena kwenye game ya mziki na kundi lao la Wakali Kwanza nalo linarudi huku akisema kwamba kaja Mwanza kimziki zaidi na kutoa nafasi kwa msanii yoyote ambaye yuko tayari kufanya nae kazi amtafute kwa namba zake au zile za mtangazaji wa redio.

QJ alitamba na nyimbo kama Sifai, Nimebaki lonely, Kitu gani & Natamani huku akisema anamkubali sana msanii Ben Pol.

Sasa Kinachoshangaza hapa ni kwamba QJ alitangaza kuachana na mziki wa bongo fleva na kujikita katika mziki wa injili na kumtumikia Mungu huku akisisiza hataki kukumbukia maisha ya mziki aliokuwa anaufanya zamani.

Sasa cha ajabu leo hii katangaza kurudi kwenye game huku akiwa kaishaandaa baadhi ya nyimbo.
 
san
joslin juzi juzi hapa alipoteza mwenza makamua nlikuwa namuoana ona chuo cha sanaaa bmoyo pale huyu nlisikia ni muimba kwaya kama watarud itakuwa gud mno tumechoka saut za studio
a anajua sana huyu jamaa alikula korabo nyingi sana enzi zile
 
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasena kwamba anarudi tena kwenye game ya mziki na kundi lao la Wakali Kwanza nalo linarudi huku akisema kwamba kaja Mwanza kimziki zaidi na kutoa nafasi kwa msanii yoyote ambaye yuko tayari kufanya nae kazi amtafute kwa namba zake au zile za mtangazaji wa redio. QJ alitamba na nyimbo kama Sifai,Nimebaki lonely,kitu gani & Natamani huku akisema ana mkubali sana msanii Ben Pol.
Sasa Kinachoshangaza hapa ni kwamba QJ alitangaza kuachana na mziki wa bongo fleva na kujikita katika mziki wa injiri na kumtumikia Mungu huku akisisiza hataki kukumbukia maisha ya mziki aliokuwa anaufanya zamani Sasa cha ajabu leo hii katangaza kurudi kwenye game huku akiwa kaisha andaa baadhi ya nyimbo.
Hata Stara Thomas alikimbilia kuimba muziki wa Injili ila akatangaza kurudi Bongo Fleva....Sijui kafia wapi..?
 
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasena kwamba anarudi tena kwenye game ya mziki na kundi lao la Wakali Kwanza nalo linarudi huku akisema kwamba kaja Mwanza kimziki zaidi na kutoa nafasi kwa msanii yoyote ambaye yuko tayari kufanya nae kazi amtafute kwa namba zake au zile za mtangazaji wa redio. QJ alitamba na nyimbo kama Sifai,Nimebaki lonely,kitu gani & Natamani huku akisema ana mkubali sana msanii Ben Pol.
Sasa Kinachoshangaza hapa ni kwamba QJ alitangaza kuachana na mziki wa bongo fleva na kujikita katika mziki wa injiri na kumtumikia Mungu huku akisisiza hataki kukumbukia maisha ya mziki aliokuwa anaufanya zamani Sasa cha ajabu leo hii katangaza kurudi kwenye game huku akiwa kaisha andaa baadhi ya nyimbo.
yale masharti alopowa na baba mkwe wake kuacha muziki na aokoke ili apewe mke naona yameanza kumshinda maana alikua anaishi kwa hisani ya mkwewe bila shaka ule mpunga wa mkwe umekata.....Mjomba magu noma sana waonee huruma wanao mambo si mambo huku kitaa
 
aaaaaaaaaaaaa sure
 
Ngoja nitafute nyimbo zao.mmenikumbusha so baby please baki nyumbani........malizien
 
Leo mida ya sa11 na nusu jioni nilikua nasikiliza kipindi cha redio kwenye Metro FM ya jijini Mwanza ambapo msanii aliyetamba sana na kundi la wakali kwanza QJ alikuwa akihojiwa na akasema kwamba anarudi tena kwenye game ya mziki na kundi lao la Wakali Kwanza nalo linarudi huku akisema kwamba kaja Mwanza kimziki zaidi na kutoa nafasi kwa msanii yoyote ambaye yuko tayari kufanya nae kazi amtafute kwa namba zake au zile za mtangazaji wa redio.

QJ alitamba na nyimbo kama Sifai, Nimebaki lonely, Kitu gani & Natamani huku akisema anamkubali sana msanii Ben Pol.

Sasa Kinachoshangaza hapa ni kwamba QJ alitangaza kuachana na mziki wa bongo fleva na kujikita katika mziki wa injili na kumtumikia Mungu huku akisisiza hataki kukumbukia maisha ya mziki aliokuwa anaufanya zamani.

Sasa cha ajabu leo hii katangaza kurudi kwenye game huku akiwa kaishaandaa baadhi ya nyimbo.
Enzi zao zishaisha hao wafanye kitu kingine tu
 
Back
Top Bottom