Msanii RamaDee atoa pole kwa Ruge

Msanii RamaDee atoa pole kwa Ruge

Kwahio mkuu shilawadu ndio wana justify uharamu au uhalali wa jambo??
Shilawadu kupost privacy za watu haimaanishi ni sawa.. ila kuwaiga hao ndio upuuzi zaidi.
Tulitegemea labda rama dee kujitofautisha na shilawadu na kufanya vitu vilivyo sawa na haki
Basi hata Ruge nae atakuwa mpuuzi, sababu kipindi kile cloudsfm walipovamiwa na makonda, ktk mahojiano ya 360 Ruge kwa kinywa chake akasema yy, ndiye hukagua vipindi vyote kabla ya kuruka. Huwezi jua labda nae Rama Dee nae aliona sawa, ikiwa yy Ruge huwaga anaruhusu baadhi ya upuuzi kuruka.
 
Kwahio mkuu kwa mujibu wako mtu akikufanyia mabaya mf ruge ni sawa tu kumlipa mabaya??

Hata kama ruge anakosea lkn alichofanyiwa sio vizuri..

Two wrongs don't make a right
 
Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...

Kwahio dozen alikua anamtaka afute ili kulinda kazi yake asitumbuliwe..... (mimi nilivyoelewa)
kwanini mgonjwa ruge hakutoa tamko la kuweza kuzuia privacy yake ya ugonjwa na kuona ni bora jamii imejua... ili mwenye kumuombea aombe, mwenye kupeleka kiungo cha kumsaidia apeleke, mwenye kwenda kumjulia hali aende... nk...

ndio tuna rudia kuwa uoga na kuto jiamini kume mfikisha hapo alipo, ni unafiki wa kiwango cha trump, yeye kwanini hakutulia na taarifa za mgonjwa na kuanza kuzisambaza mpaka kwa rama dee, na yawezekana kasambaza kwa wengi zaidi ya rama dee....

je privacy ipo wapi hapo???
 
Mkuu nadhani hili swala la privacy ya ugonjwa ni gum kulielezea tukaelewana..naomba nisiendelee lkn kama mgonjwa ninaweza kuwapa taarifa watu wangu wa karibu..
Sasa yule mtu wa karibu anavyotangaza public kosa ndio linaanzia hapo....

Swala la privacy ni gum sana hasa kibongo bongo lkn trust me.ni issue serious ikikutokea ww
 
Kwahio mkuu kwa mujibu wako mtu akikufanyia mabaya mf ruge ni sawa tu kumlipa mabaya??

Hata kama ruge anakosea lkn alichofanyiwa sio vizuri..

Two wrongs don't make a right
Kwa mtizamo wako si kizuri, lkn Rama Dee ameposti kutoka na mtizamo wake, umbao unareflect mtizamo wa Ruge kupitia SHILAWADU na ndio maana naona yupo sawa sababu mtizamo wake na Ruge unafanana (hata siku moja usipende kuulea upuuzi kwani Kuna siku utafanyiwa upuuzi huo huo, ukilalamika watu watakushangaa)
 
b12 lazma akaliwe jicho.wanaume wa dar bhana
 
Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu uweka private conversation mitandaoni??..Na je hili la kudisclose ugongwa na mtu anayeumwa liko sawa kweli??,hata kibinadamu tu??
 
Kwa mtizamo wako si kizuri, lkn Rama Dee ameposti kutoka na mtizamo wake, umbao unareflect mtizamo wa Ruge kupitia SHILAWADU na ndio maana naona yupo sawa sababu mtizamo wake na Ruge unafanana (hata siku moja usipende kuulea upuuzi kwani Kuna siku utafanyiwa upuuzi huo huo, ukilalamika watu watakushangaa)
Ndio maana kuna njia za kudeal na upuuzi....ukifanyiwa upuuzi usiulee lkn fwata njia za haki kupambana na huo upuuzi
 
Ndio maana kuna njia za kudeal na upuuzi....ukifanyiwa upuuzi usiulee lkn fwata njia za haki kupambana na huo upuuzi
Yy mwenyewe kaulea upuuzi na ndio maana umemrudia na ndio maana mara nyingi unahusiwa jiheshim ili uheshimiwe.
 
Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...

Kwahio dozen alikua anamtaka afute ili kulinda kazi yake asitumbuliwe..... (mimi nilivyoelewa)
Huyo Rama alikuwa na umuhimu gani wa kupewa hiyo taarifa?
 
Ya b12 na Rama'dee piga chini.
Kwa anataka figo ya shilingi ngapi?..
 
Ugonjwa wa mtu, hususan kama hauna asili ya kuambukiza, ni jambola binafsi na faragha. Wabongo wengi hili hawalijui.
 
Rama dee kueka hadharani ni msamaha tosha kwa bdozen dhidi ya boss wake tayari boss ameshajua jinsi gani ananyenyekewa na vijana wake na nadhani atakua amefurahi pia kwa maana ingine Rama kamuombea msamaha Dozen bila dozen kujua
 
Huyo Rama alikuwa na umuhimu gani wa kupewa hiyo taarifa?
taarifa zimeanza toka magazeti ya udaku, inawezekana Rama Dee alimuuliza Bdozen ukweli wa hizo habari ndio akaandika aliyoandika instagram. all in all sikuwahi jua kama busara za Rama Dee zimefikia hapo, wangapi wamejua swala hili mapema na hawakuwahi liweka public? swala la ugonjwa wa mtu ni private matter, hata awe national figure, akiamua liwe private litakuwa hivyo hivyo.
 
Nimemdharau sana Ramadee.... hata kama ni kutafuta kiki sio kiivyo... seems like ana mkejeli Ruge.
 
Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
Naam! Umenena vyema. Hakuna ubishi kuwa ugonjwa ni privacy ya mtu. Mtu anaesambaza kuumwa kwa mtu bila ruhusa ya mgonjwa ni mjinga kabisa, hana hekima na wala hajitambui.
 
Naam! Umenena vyema. Hakuna ubishi kuwa ugonjwa ni privacy ya mtu. Mtu anaesambaza kuumwa kwa mtu bila ruhusa ya mgonjwa ni mjinga kabisa, hana hekima na hawala hajitambui.
Kisheria pia likoje??...huwezi kumlima mahakamani kwa kuingilia faragha ya mtu??
 
Back
Top Bottom