Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Kwa hiyo wewe baseline ya akili yako ni Ruge na Shilawadu!??? Ni hekima kidogo tu inahitaji kuelewa alichokuekeza carcinoma bila hata kuleta mabishano yasio na tijaBasi hata Ruge nae atakuwa mpuuzi, sababu kipindi kile cloudsfm walipovamiwa na makonda, ktk mahojiano ya 360 Ruge kwa kinywa chake akasema yy, ndiye hukagua vipindi vyote kabla ya kuruka. Huwezi jua labda nae Rama Dee nae aliona sawa, ikiwa yy Ruge huwaga anaruhusu baadhi ya upuuzi kuruka.