joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Basi hata Ruge nae atakuwa mpuuzi, sababu kipindi kile cloudsfm walipovamiwa na makonda, ktk mahojiano ya 360 Ruge kwa kinywa chake akasema yy, ndiye hukagua vipindi vyote kabla ya kuruka. Huwezi jua labda nae Rama Dee nae aliona sawa, ikiwa yy Ruge huwaga anaruhusu baadhi ya upuuzi kuruka.Kwahio mkuu shilawadu ndio wana justify uharamu au uhalali wa jambo??
Shilawadu kupost privacy za watu haimaanishi ni sawa.. ila kuwaiga hao ndio upuuzi zaidi.
Tulitegemea labda rama dee kujitofautisha na shilawadu na kufanya vitu vilivyo sawa na haki
Kwahio mkuu kwa mujibu wako mtu akikufanyia mabaya mf ruge ni sawa tu kumlipa mabaya??Basi hata Ruge nae atakuwa mpuuzi, sababu kipindi kile cloudsfm walipovamiwa na makonda, ktk mahojiano ya 360 Ruge kwa kinywa chake akasema yy, ndiye hukagua vipindi vyote kabla ya kuruka. Huwezi jua labda nae Rama Dee nae aliona sawa, ikiwa yy Ruge huwaga anaruhusu baadhi ya upuuzi kuruka.
kwanini mgonjwa ruge hakutoa tamko la kuweza kuzuia privacy yake ya ugonjwa na kuona ni bora jamii imejua... ili mwenye kumuombea aombe, mwenye kupeleka kiungo cha kumsaidia apeleke, mwenye kwenda kumjulia hali aende... nk...Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...
Kwahio dozen alikua anamtaka afute ili kulinda kazi yake asitumbuliwe..... (mimi nilivyoelewa)
Mkuu nadhani hili swala la privacy ya ugonjwa ni gum kulielezea tukaelewana..naomba nisiendelee lkn kama mgonjwa ninaweza kuwapa taarifa watu wangu wa karibu..kwanini mgonjwa ruge hakutoa tamko la kuweza kuzuia privacy yake ya ugonjwa na kuona ni bora jamii imejua... ili mwenye kumuombea aombe, mwenye kupeleka kiungo cha kumsaidia apeleke, mwenye kwenda kumjulia hali aende... nk...
ndio tuna rudia kuwa uoga na kuto jiamini kume mfikisha hapo alipo, ni unafiki wa kiwango cha trump, yeye kwanini hakutulia na taarifa za mgonjwa na kuanza kuzisambaza mpaka kwa rama dee, na yawezekana kasambaza kwa wengi zaidi ya rama dee....
je privacy ipo wapi hapo???
Kwa mtizamo wako si kizuri, lkn Rama Dee ameposti kutoka na mtizamo wake, umbao unareflect mtizamo wa Ruge kupitia SHILAWADU na ndio maana naona yupo sawa sababu mtizamo wake na Ruge unafanana (hata siku moja usipende kuulea upuuzi kwani Kuna siku utafanyiwa upuuzi huo huo, ukilalamika watu watakushangaa)Kwahio mkuu kwa mujibu wako mtu akikufanyia mabaya mf ruge ni sawa tu kumlipa mabaya??
Hata kama ruge anakosea lkn alichofanyiwa sio vizuri..
Two wrongs don't make a right
Ndio maana kuna njia za kudeal na upuuzi....ukifanyiwa upuuzi usiulee lkn fwata njia za haki kupambana na huo upuuziKwa mtizamo wako si kizuri, lkn Rama Dee ameposti kutoka na mtizamo wake, umbao unareflect mtizamo wa Ruge kupitia SHILAWADU na ndio maana naona yupo sawa sababu mtizamo wake na Ruge unafanana (hata siku moja usipende kuulea upuuzi kwani Kuna siku utafanyiwa upuuzi huo huo, ukilalamika watu watakushangaa)
Yy mwenyewe kaulea upuuzi na ndio maana umemrudia na ndio maana mara nyingi unahusiwa jiheshim ili uheshimiwe.Ndio maana kuna njia za kudeal na upuuzi....ukifanyiwa upuuzi usiulee lkn fwata njia za haki kupambana na huo upuuzi
Huyo Rama alikuwa na umuhimu gani wa kupewa hiyo taarifa?Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...
Kwahio dozen alikua anamtaka afute ili kulinda kazi yake asitumbuliwe..... (mimi nilivyoelewa)
Labda aliambiwa kama mwana tu....baadae ndio akawageukaHuyo Rama alikuwa na umuhimu gani wa kupewa hiyo taarifa?
taarifa zimeanza toka magazeti ya udaku, inawezekana Rama Dee alimuuliza Bdozen ukweli wa hizo habari ndio akaandika aliyoandika instagram. all in all sikuwahi jua kama busara za Rama Dee zimefikia hapo, wangapi wamejua swala hili mapema na hawakuwahi liweka public? swala la ugonjwa wa mtu ni private matter, hata awe national figure, akiamua liwe private litakuwa hivyo hivyo.Huyo Rama alikuwa na umuhimu gani wa kupewa hiyo taarifa?
Naam! Umenena vyema. Hakuna ubishi kuwa ugonjwa ni privacy ya mtu. Mtu anaesambaza kuumwa kwa mtu bila ruhusa ya mgonjwa ni mjinga kabisa, hana hekima na wala hajitambui.Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
Kisheria pia likoje??...huwezi kumlima mahakamani kwa kuingilia faragha ya mtu??Naam! Umenena vyema. Hakuna ubishi kuwa ugonjwa ni privacy ya mtu. Mtu anaesambaza kuumwa kwa mtu bila ruhusa ya mgonjwa ni mjinga kabisa, hana hekima na hawala hajitambui.