Msanii RamaDee atoa pole kwa Ruge

Kwa hiyo wewe baseline ya akili yako ni Ruge na Shilawadu!??? Ni hekima kidogo tu inahitaji kuelewa alichokuekeza carcinoma bila hata kuleta mabishano yasio na tija
 
Kisheria pia likoje??...huwezi kumlima mahakamani kwa kuingilia faragha ya mtu??
Kuna haja ya kufuatilia suala hili kwa kweli. Huyo dogo hana hekima; Ameweka public ugonjwa wa mtu mwingine bila idhini, kaweka public mazungumzo binafsi ya watu wawili! Ni mjinga kabisa
 
Kuna haja ya kufuatilia suala hili kwa kweli. Huyo dogo hana hekima; Ameweka public ugonjwa wa mtu mwingine bila idhini, kaweka public mazungumzo binafsi ya watu wawili! Ni mjinga kabisa
Mimi hiki kitendo nimekiona kama ni cha kinyama sana..tena ugonjwa anaoumwa ni ugonjwa ambao hakuna mtu atataka mtu asiye wa karibu naye aujue..jitu linaenda kwenye mitandao na kuweka details zote
 
Kwa hiyo wewe baseline ya akili yako ni Ruge na Shilawadu!??? Ni hekima kidogo tu inahitaji kuelewa alichokuekeza carcinoma bila hata kuleta mabishano yasio na tija
Sio baseline yangu bali siku zote tabia za wafanyakazi zina reflect tabia za bosi kwa kuangalia ndio utaelewa, boss anatabia gani.
 
ana jaribu kuonesha jinsi watanzania walivyo waoga na hawajiamini... kwa namna yoyote ile... na kwa nyazifa yoyote waliyo nayo... ni waoga na wasio jiamini
Mkuu sio kutojiamini........hali ya ugonjwa huwa ni siri ya mgonjwa na Dr na mwenye mamlaka ya kutangaza na mgonjwa mwenyewe au Dr sasa B12 akiulizwa alitoa wapi hayo mamlaka atasemaje?
 
Mkuu sio kutojiamini........hali ya ugonjwa huwa ni siri ya mgonjwa na Dr na mwenye mamlaka ya kutangaza na mgonjwa mwenyewe au Dr sasa B12 akiulizwa alitoa wapi hayo mamlaka atasemaje?
amina kumbe tatzo lilianzia kwa B-12... na pia mgonjwa mwenyewe ametangaza hizi taarifa kama sio yeye basi daktari wake aliye muhudumia...

kwa kuwa mtu hawezi jua furani ana umwa nini kama sio daktari au muhusika wa huo ugonjwa...
 
ndio hapo daktari ana shauri mgonjwa awaambie nduguze au ana chukua mamlaka ya kusema kwa ndugu bila mgonjwa kuafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…