Naona taratibu dogo Mondi ana transion kutoka kwenye u entertainer na kuelekea kwenye u music mogul.
Kwa kweli juhudi za huyo dogo nazipenda maana kaweza kujikwamua kutoka kwenye hali duni sana ya kimaisha hadi kufika hapo alipo.
#Positivity#
mshindi ni mtu mwenye ndoto na hakubali kushindwa by mandelaRISE AND FALL OF WCB WILL BE SOON
RISE AND FALL OF WCB WILL BE SOON
WCB IMEANZA CHUKUA WASANII WA CHINI YA KIWANGOMtoto akizaliwa ni ishara ya neema maana ukoo unaongezeka.
Sidhani kama ungeipongeza wcb ungepungukiwa na kitu maana wanastahili kupongezwa kwa kukuza wcb.
Rapa wa WCB ni Young Kilah anasubiri kutambulishwa tu.