Hajajikwamua, ame wezeshwa na ndumba! Uchawi unalipa mzee!Naona taratibu dogo Mondi ana transion kutoka kwenye u entertainer na kuelekea kwenye u music mogul.
Kwa kweli juhudi za huyo dogo nazipenda maana kaweza kujikwamua kutoka kwenye hali duni sana ya kimaisha hadi kufika hapo alipo.
#Positivity#
Watu na roho[emoji83]RISE AND FALL OF WCB WILL BE SOON
WCB IMEANZA CHUKUA WASANII WA CHINI YA KIWANGO
WANGETOKA TU HATA BILA DIAMOND WE UNAJUA RAYMOND KATOKEA WAPI?Toka lini Mayoniza na dogo Raymond walikuwa wakubwa?? Ulikuwa hata unawajua kabla ya kuanzishwa wcb??
ETI HE WIL BE INTERNATIONAL ARTIST AFTER JOINING WCBDuuuh.... yan chid....wcb, aaah hyo impossible future tense.
hahahahah madhara ya kutokunywa chai baada ya sukari kupotea hayo mpka wanawaza vituko tu mda wote,ETI HE WIL BE INTERNATIONAL ARTIST AFTER JOINING WCB
huujui muziki wewe,chidi sio msanii wa kawaidaWCB IMEANZA CHUKUA WASANII WA CHINI YA KIWANGO
Bado kitambo kidogoMsanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic Baby WCB mchana Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond platnumz.
Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu mchana huu.
Naona taratibu dogo Mondi ana transion kutoka kwenye u entertainer na kuelekea kwenye u music mogul.
Kwa kweli juhudi za huyo dogo nazipenda maana kaweza kujikwamua kutoka kwenye hali duni sana ya kimaisha hadi kufika hapo alipo.
#Positivity#
Nadhani watakuwa wamelitizama kwa muono mpana hao kina tale na said fella ni watoto wa kitaa khaswa so nina imani wanayajua mapungufu yake chukua mfano pina aliisha wahi kumpa mangumi chid lakini wakayamaliza kiume na kuwa kitu kimoja.Nina wasiwasi mkubwa na nidhamu ya Chidi Benz
TAWILEHili kundi litakuja kupata mpasuko mkubwa mnoo...litakuja kusambaratikia mbali!!