Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

huyu akamatwe mara moja kumtusu mkuu wa mkoa ,Hivi watanzania baadhi nani kawaloga mnataka viongoz wanamna gani makonda hana mfano chapa kazi watz tunakuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo kamtukana au kasema ukweli? Unajua maana ya kutukana wewe?
 
huyu akamatwe mara moja kumtusu mkuu wa mkoa ,Hivi watanzania baadhi nani kawaloga mnataka viongoz wanamna gani makonda hana mfano chapa kazi watz tunakuelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa Mkoa ni Anthony Mtaka,Chid kaongea vizuri kuwa Makonda achague vipaumbele vichache,halafu kasema wasanii wanataka pesa tu Kwani uongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe. Kaz ya uspy huwez kabisa!!!!!! Watu wanaangalia ujumbe au taarifa na sio mtoa taarifa au ujumbe
 
Hata yeye ana mawazo positive na vision pia... chidi benzi licha ya kuwa madawa yamemuondoa kwenye line but thinking yake iko very strong.

Ujumbe wake ni 100% true mnyonge mnyongeni haki yake usimnyime. Hapa toa credit kwa chidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamdharau Chidi watu kibao.Lakini kumbuka hata saa mbovu kuna kipindi hupatia majira.
 
Kweli kabisa aachane na mmabo ambayo hayamuhusu,ajikite kwenye mambo yaliyomfanya akalie hiko kiti,wasanii/wanamuziki wapo TZ nzima wakati yeye ni RC wa DSM tu,akideal na issue zinazohusu DSM ndio lengo la yeye kuwa pale.....CHID kunywa PEPSI baridi nakuja kulipa au kama kuna QR BAR CODE scan fasta nitumie nilipie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…