Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

Ivyo vitu wanajisumbua tu,mashabiki WA kiafrica / Tanzania hawatambui issues za ubunifu na Wala hawastuki na hatujafikia uko kwenye Sanaa ya bongo ,pia usiwaamini sana wasanii na usiamini kila unachoambiwa bila vithibitisho ,usiwe kama mtu usiye na ubongo😀😀za kuambiwa changanya na zako
 
Dogo WA MBEYA anaanza kutuaibisha waisa sasa anaanza kuwa kama ngosha!!!
 
Rayvan ni msanii mpumbavu
 
Kuna angle yake anaitafuta sio lazima sasa ivi ila anajua itamlipa uko mbele ya safari.

Usikate tamaa van boy kwa kile unachokiamnini wabongo kazi yetu kukatisha watu tamaa ilhali hatujui undani wake.

NB.
Kuna waliogundua dunia n duara mwanzoni huko wakauawa ila sasa ivi wanaombwa msamaa.
 
Huyu jamaa nasikia alijenga nyumba Kisha akaichoma Moto ili kuweka uhalisia kwenye video ya I miss you...pumbavu kbsa huyu jamaa
 
Hiyo ni Mil 7 iliyoongezwa sifuri kiuhalisia rayvan na harmonize ni wasanii wanaoelekea kupotea hata lebo walizozianzisha zimeshakufa kilichobakia ni wao kupotea ni swala la muda
 
Wasanii wenu bongo huwa wanapenda kuongeza masifuriiii

Ova
 
Mar rayv kapoteza m70 kwenye kubeti mara m70 kawekeza kwenye kutengeza ziwa?? Jaman mtatuua kwa propaganda
Anajenga ziwa/ bwawa la kupitisha boat kwa siku moja?! Hiyo engineering ya wapi?!
 
Hivi hizo show zenye poor video hivyo ndio zakuangaliwa dunia nzima?
Ujinga huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…