Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Ruge hamkumtetea hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruge alimtoa Nani to the highest peak, Sana Sana alikuwa anawatambulisha tu na kuwaacha , Mond anawatoa kutoka shimoni mpak anga za kimataifa , Leo hii ukizungumzia top ten ya wasanii wanaokimbiza , watano au sita wamepita mikononi mwa Diamond
 
Wcb Wanaimba ujinga sana hiyo label ya wauza nyapu haiwez kuwa na future kwa msanii mkali kama Rayvanny
 
Ruge alimtoa Nani to the highest peak, Sana Sana alikuwa anawatambulisha tu na kuwaacha , Mond anawatoa kutoka shimoni mpak anga za kimataifa , Leo hii ukizungumzia top ten ya wasanii wanaokimbiza , watano au sita wamepita mikononi mwa Diamond
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana, mahaba nigaragaze.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha bwana, mahaba nigaragaze.
Unatakiwa umjibu kwa fact sio kun'gan'gania kwamba ana mahaba je alichokiongea ni uongo?Zuchu huyu wakati mondi anamtambulisha aliambiwa muimba taarabu ajui kuimba angalia now huyu amekuwa habari nyingine
 
Kibongo bongo hakunaga kusepa kiroho Safi.

Hata demu ukimtongoza akikataa UNAKUNJA. Hakuna KUSALIMIANA tena, CHUKI CHUKI.
 
Hawa vijana wakati wanasaini Contract wanaona kama wamefika wanasahau kureview terms and conditions ya hizo contract so wanakuwa blinded na Njaa kali wanaona wamefika sehemu safi, kama nature ilivo, Human being cant get satisfied with anything, muda ukisogea their standards get higher wanaona sasa they can have their own freedom, mziki unakuja namna ya kuchomoka kwenye izo mikataba, Wasafi ipo at corporate level now ivo diamond yeye sio final say
 
Kwanini usingemshauri kipindi ambacho hata kumuonga demu elfu 5 alikuwa hana na ukizingatia kwenye elimu kafeli njia pekee kaona kwenye mziki
 
Mwache ajichanganye amuige Tembo, yule kijana ni namba nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…