Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Anatakiwa yeye awe mkubwa sasa hivi kwanza kukimbilia kuwa na wasanii wengi ni kuanza kujiingiza gharama
 
Ruge alimtoa Nani to the highest peak, Sana Sana alikuwa anawatambulisha tu na kuwaacha , Mond anawatoa kutoka shimoni mpak anga za kimataifa , Leo hii ukizungumzia top ten ya wasanii wanaokimbiza , watano au sita wamepita mikononi mwa Diamond
Nadhani umemjulia Ruge THT, Ila smooth vibez iliyowasimamisha wasanii A'list kama TID, Lady jay dee, Ray C , Banana Zorro, Q chief etc huwajui

Diamond anaweza kuwa G. O. A. T kimuzikii ila kwenye ushawishi katika tasnia ya burudani, kumlinganisha na Ruge hata Tale, fela na salaam wanaofanya mumpe credits watakataa
 
WCB hawapendi aina ya mziki ya Vannyboy anapoteza muda pale
 
Ikitokea Vanny akaondoka WCB, Mmakonde ( Harmonize) ataforce ukaribu na Vanny ..ili wasapotiane ...na hawa watu waki click tuu Huko WCB watapata pressure kubwa sana..
Konde boy alipofikia hahitaji support ya rayvanny, uchwai wa WCB waliomfanyia rich mavoko umedunda kwa mmakomde, maana kila siku anatrend yeye tu
 
Nachojua Kwenye Mambo Haya Ya Label Hakunaga Kitu Kinachoitwa Kuondoka Kwa Amani [emoji4]
Aliondoka kwa aman mwaka sasa ni mkataba aliutaka aliemnunua asitoke ghafla ,walilipwa bil 1 mondi akala nusu pesa sawa na alolipwa na harmoniser kwa fujo ,hii alipewa tena kwenye gar ndo mbwembwe za ray kununua gar ,mondi kwenda usa ,DIAMOND NINKUBALI SMART
 
Si wanasema anakusudia kujiua baada ya kuachwa na Paula. Ndugu zake walimkamata na madawa baada ya kusikia kuwa ndugu yao anataka kujiua.
 
Si wanasema anakusudia kujiua baada ya kuachwa na Paula. Ndugu zake walimkamata na madawa baada ya kusikia kuwa ndugu yao anataka kujiua.
Mmh nani anakusdia kujiua na ndugu zake nani walimkamata na madawa gani ya kujiua au ya kulevya
 
Ila uchawa wengine umepitiliza
Kwahiyo hana nyimbo inayotrend au wcb tu ndio wanatrend?
Wimbo gani mkubwa katoa Huu mwaka zaidi yakusikia kiki zake za kajala mwanamziki anayejielewa anafanya kiki za wimbo ila jamaa anafanya kiki kubwa kuliko mziki wake na ndio maana ngoma zake nyingi zimefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…