Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Msanii Rayvan pengine hayupo Wasafi tena

Aliondoka kwa aman mwaka sasa ni mkataba aliutaka aliemnunua asitoke ghafla ,walilipwa bil 1 mondi akala nusu pesa sawa na alolipwa na harmoniser kwa fujo ,hii alipewa tena kwenye gar ndo mbwembwe za ray kununua gar ,mondi kwenda usa ,DIAMOND NINKUBALI SMART
Bil 1 ......... mhhh
 
Recently msanii Gunna kutoka marekani alihojiwa kuhusu suala la labels, akasema kua anashangaa wasanii wanaoponda lebo, kwa sababu yeye anaamini lebo ni kama inacheza kamari kukuchukua kutoka mavumbini na kuwekeza hela ili ujulikane na upige hatua. Alisema kua kazi ya msanii ni kufanya kazi kwa nguvu zote ili u-shine zaidi ukiwa ndani ya lebo na kuleta mafanikio ya kutosha, and then mkataba wako utakapofika ukingoni unapata uhuru wa either kusign a new deal lakini at your own terms maana tayari wewe ni staa, Na pia kama ukiamua kuondoka, tayari unakua na jina kubwa hivo unaeza kujisimamia na mziki wako kukua.
Shida ya mziki wetu unaongozwa na kiki so artist anapotea ndani ya muda mfupi.
 
Kuna watu wako hai lakini hawajui watakula nini (yaani hawana chakula), unadhani wanafurahia kuwa hai?
Uhai ni mtaji namba moja. Hayo mengine ya kukata tamaa ni upungufu wa afya ya ubongo
 
Wimbo gani mkubwa katoa Huu mwaka zaidi yakusikia kiki zake za kajala mwanamziki anayejielewa anafanya kiki za wimbo ila jamaa anafanya kiki kubwa kuliko mziki wake na ndio maana ngoma zake nyingi zimefeli
Make kwanza hapo ncheke.
 
Aliondoka kwa aman mwaka sasa ni mkataba aliutaka aliemnunua asitoke ghafla ,walilipwa bil 1 mondi akala nusu pesa sawa na alolipwa na harmoniser kwa fujo ,hii alipewa tena kwenye gar ndo mbwembwe za ray kununua gar ,mondi kwenda usa ,DIAMOND NINKUBALI SMART
Yani apewe "1B" kwenye gari....seriously?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kijana amekua sio mbaya akapige kazi mwenyewe , tatizo watamjaza maneno arudi kugombana na aliyemfikisha hapo !!! Kila la heri Chui
 
Naona anatafuta kupotea kabsa kwenye ramani.

Hana uwezo wa kuhimili mikiki ya Muziki akiwa peke yake.
Ndio akili zenu zilipoishia kwahiyo aendelee kukaa pale kuwafurahisha nyie huku akinyonywa🙄🙄🙄🙄 hata akipata kidogo chake kuliko kumlisha bosi kingi, na zuchu naye ajitathimini 😁😁😁
 
Acha Aondoke ,game ichangamke .....baada ya Vanny atayefuatia ni Lavalava .....siku hz ana ukaribu sana na bob junior ,afu pia hata label yake haimzingatii kabisa
Inasemekana huyu lava lava hauziki kabisa ndio maana mondi alimpenda sana vanny na zuchu hata hamo alikuwa chini ya vanny kimauzo
 
Inasemekana huyu lava lava hauziki kabisa ndio maana mondi alimpenda sana vanny na zuchu hata hamo alikuwa chini ya vanny kimauzo
Dah kama hali ni hiyo bhac watantafutia sababu tuu wakimchoka
 
Back
Top Bottom