Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

Tupe na takwimu ya Dangote na Mo Dewj kwa maana tushakubaliana kuwashindanisha watanzania na wanaijeria
😂 Uzi wa Dangote unakuja. Sema za ndanindani dangote kaanzisha kiwanda cha mafuta. Aliomba backup kwa Mo kikao kilifanyika Rwanda
 
Mgawanyo wa fedha ndio utatoa muongozo nani anapesa nyingi?

Kwenye music industry Kuna chain ndefu ya watu ambao mapato yanayopatikana wanagawana eg producer, director, stylish, designer, social media operator, cameraman, dj, security, driver, management, gym trainer, mpishi nk pesa inapatikana nyingi ila inapita kwa wengi.
 
Umefanya tafiti yako vizuri sana ila ingefaa ukamuongelea mtu mmoja bila kumlinganisha na mwingone maana hao wako rank tofauti,ila uzi wako umejibu baadhi ya maswali yangu ambayo sikuwa na majibu yake
 
Mkuu lengo ni kuonyehsa jinsi hizi digital platform zinavyo lipa pesa. Mimi pia nina Acc huko. Njoo na wewe uwekeze kwnye mziki ni sauti yako tu
Vipi nikirecodi kwa Ai then nitume uko spotify wanakubali..?
 
Cha msingi picha umeiona jinsi Streams zinavyolipa
 
Umekosea hesabu, hebu rudia tena. Dola milioni 164 si mchezo wewe.
 
Umefanya tafiti yako vizuri sana ila ingefaa ukamuongelea mtu mmoja bila kumlinganisha na mwingone maana hao wako rank tofauti,ila uzi wako umejibu baadhi ya maswali yangu ambayo sikuwa na majibu yake
Bila kuweka kichwa cha habari cha hivyo huwezi kuvuta Attention ya mbongo.
Tittlle unakuta ; msaniii kapata ajali ndani unakutana na tangazo la Ajira
 
Chykua idadi ya streams zidisha mara 0.04$
Kisha weka kwa Tsh
View attachment 3136667
Calculator yangu mbovu uko inasemaje😂

Kwa maelezo yako mwenyewe ya kutoka Spotify streams 1,000 ni $4.

Kupata malipo unatakiwa kuzidisha namba ya streams kwa 0.004$ kwa sababu 0.04 $ ni kwa 10 streams.

Kwa hiyo kupata bei ya stream moja fanya 0.04$ ÷ 10. Utapata 0.004$, halafu hiyo 0.004$ ndiyo uitumie kwenye hesabu za per stream.

Inakuondoa kutoka $164 million mpaka $16.4 million

Ushaelewa?
 
Hio n Miscalculation.
Lengo ni kufahamu streams zinavyotengeneza pesa sasa tuhame Youtube. Pakua App yako ya Spotify tutafute pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…