B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
- Thread starter
- #21
AIAre you normal?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AIAre you normal?
Kwa bando hili la promo?Wanamakato yao kama miamala ya simu inavyofanya kazi. Kila stream wana percent yao wanachukua
😂 Uzi wa Dangote unakuja. Sema za ndanindani dangote kaanzisha kiwanda cha mafuta. Aliomba backup kwa Mo kikao kilifanyika RwandaTupe na takwimu ya Dangote na Mo Dewj kwa maana tushakubaliana kuwashindanisha watanzania na wanaijeria
Jumla mpaka sasa ni Tsh 20M . Nimechelewa kuingiako . Ni sauti yako tuWe unaingiza kiasi gani?
Vipi nikirecodi kwa Ai then nitume uko spotify wanakubali..?Mkuu lengo ni kuonyehsa jinsi hizi digital platform zinavyo lipa pesa. Mimi pia nina Acc huko. Njoo na wewe uwekeze kwnye mziki ni sauti yako tu
Cha msingi picha umeiona jinsi Streams zinavyolipaMgawanyo wa fedha ndio utatoa muongozo nani anapesa nyingi?
Kwenye music industry Kuna chain ndefu ya watu ambao mapato yanayopatikana wanagawana eg producer, director, stylish, designer, social media operator, cameraman, dj, security, driver, management, gym trainer, mpishi nk pesa inapatikana nyingi ila inapita kwa wengi.
Umekosea hesabu, hebu rudia tena. Dola milioni 164 si mchezo wewe.Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada.
1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY
Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini
View attachment 3136583Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe lakini kwenye platform nyingine hafanyi vizuri
Spotify hulipa wasanii pesa kwa idadi ya streaams ya ngoma walizoingiza kwenya platform hio. Na hulipa kama unavyo ona hapo chini
View attachment 3136589
UPande wa spotify Diamond ana streams
280,565,117
View attachment 3136592
Na Rema ana Streams 4,103,463,149
View attachment 3136596
KWa streams hizo.mpaka sasa Diamond kaingiza kiasi cha 1,122,260.468 Dollars sawsawa na Tsh 3,054,870,430
Kwa upande wa Rema, kwa streams hizo ameshaingizz kiasi cha 164,138,525.96 Dollar sawasaw na Tsh 446,802,082,185
(😂 kweli mziki unalipa .Na hapo tu ni Rema sio kina Wizkd, Burnaboy na davido
Wana JF na sisi tuingie kwenye usanii kwenye hizo digital platform pesa ipo)
Ikumbukwe upande wa Streams za spotify msanii anaeongoza ukanda wa Afirka mashariki ni Sofiya nzau kutoka kenya.huyo hapo
View attachment 3136635
Kgezo cha pili
2. SHOW ZA NJE YA NCHI
Upande wa Show hasa za nje ya nchi Diamond u charge 70,000 mpka 100,000 dollar sawa na Tsh 190,547,210 mpka Tsh 272,210,300. Angalia hapo chini
View attachment 3136615
Kwa upande wa Rema u charge 150,000 dollar mpka 299,000. Sawa na Tsh 408,315,450 mpka Tsh 813,908,797
Angalia hapo chini
View attachment 3136623
View attachment 3136631
Rema amekuwa na show nyingi za nje ya nchi mfano marekani, UK n.k Hasa baada ya kutoa Album yake mpya na show alizozipata kwenye kibao vchake cha Calm down baada ya kushirikiana na selena Gomez.ngoma hio ilimpa show nyingi kama kuperfom kwnye BET,grammy na Tuzo za fifa
Kwa upande wa Diamond hana show nyingi za nje ya nchi yaani Marekani, United kingdom n.k show alizozipata ni baada ya kutoa EP yake ya FOA Ikumbukwe diamonf hajatoa tena Album tangu 2018 alipotoa Aboy from tandale. Show anazo zifanya sahivi ni za wasafi festival mikoani ili kuji boost kiuchumi.
( kweli wasanii wetu bila show za mikoani na lounge au club hawana pesa maana hata huko kwenye digital platform hawafanyi vizuri wamekomalia Youtube inayoingiza pesa ndogo zaidi ni vijembe vya Insta. Mfano ulikuwa tu wa Rema hajatumika msanii mkubwa wa Naija kam wizkid, Burnaboya na Davido
UWEKEZAJI WA DIAMOND.
Diamond hupata pesa kupitia ubalozi wa makampuni mfano Airt. Pia kupitia wasafi media.
IKumbukwe Media hutengeneza pesa kupitia matangazo, Youtube post na pesa wanazolipwa kupitia media hiyo kuonyeshwa kpitia king'amuzi.
View attachment 3136633
kwa media inavyoingiza pesa itoshe kusema kua WAsafi media inaingiza pesa ndogo kwani pesa nyingi zinatumika kulipa mishahara ya watangazaji.
Wasafi media imekua ikitumika kama kumtengenezea connection n serkl pia kutangaza kazi za wasanii wa WCB (Ikumbukwe moja ya sababu ya Diamond kuanzisha Media n baada ya media z bongo kuacha kucheza ngoma zake na za wasanii wake kwenye chanel zao)
KWA KUSRMA HAYO ITOSHE KUSEMA PESA WANAZO INGIZA WASANII WA NIGERIA KUPITIA TU MZIKI(ukiachana na ubalozi na uwekezaji mwingine) NI NYINGI ZAIDI UKILINGANISHA NA PESA ZA WASANII WA BONGO WANAZOINGIZA KUPITIA USANII NA UWEKEZAJI WAO PAMOJA NA UBALOZI. Uyo alikua tu REMA JE angetumika Burnaboy, wizkid au Davido.
Wana Algorithm ina detect sauti. Itakua ngumu ku upload kaziVipi nikirecodi kwa Ai then nitume uko spotify wanakubali..?
Chykua idadi ya streams zidisha mara 0.04$Umekosea hesabu, hebu rudia tena. Dola milioni 164 si mchezo wewe.
Wabongo hamtochelewa kuni report Acc yangu. Ukitaka kuanzisha na wewe nakupa muongozo bure kabsNitumie username /profile yako PM niwe nafatilia pia
Bila kuweka kichwa cha habari cha hivyo huwezi kuvuta Attention ya mbongo.Umefanya tafiti yako vizuri sana ila ingefaa ukamuongelea mtu mmoja bila kumlinganisha na mwingone maana hao wako rank tofauti,ila uzi wako umejibu baadhi ya maswali yangu ambayo sikuwa na majibu yake
Consultation fee kiasi gani nataka kuanzisha online TVBila kuweka kichwa cha habari cha hivyo huwezi kuvuta Attention ya mbongo.
Tittlle unakuta ; msaniii kapata ajali ndani unakutana na tangazo la Ajira
Hahahaaa mkuu ati nnUkittaka kutoboa fasta worlwide na upate Grammy kwa haraka njia n pididi vinginevyo ule pesa za streams
Chykua idadi ya streams zidisha mara 0.04$
Kisha weka kwa Tsh
View attachment 3136667
Calculator yangu mbovu uko inasemaje😂
oNline Tv kama zile za Youtube?Consultation fee kiasi gani nataka kuanzisha online TV
Hio n Miscalculation.Unatakiwa kuzidisha kwa 0.004$ kwa sababu 0.04 $ ni kwa 10 streams.
Kwa hiyo kupata bei ya stream moja fanya 0.04$ ÷ 10. Utapata 0.004$, halafu hiyo 0.004$ ndiyo uitumie kwenye hesabu za per stream.
Inakuondoa kutoka $164 million mpaka $16.4 million
Ushaelewa?