Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

Hio n Miscalculation.
Lengo ni kufahamu streams zinavyotengeneza pesa sasa tuhame Youtube. Pakua App yako ya Spotify tutafute pesa
Umekosea mahesabu by a factor of 10.

Umepata jawabu la dola milioni 164 sehemu ambayo jawabu ni dola milionin 16.4.

Usidogoshe kosa hilo kwa kusema "hiyo ni miscalculation".

Ukikosea, kubali umekosea, halafu waache wengine ndiyo waseme kosa kubwa au dogo.

Siyo unakosea wewe halafu wewe mwenyewe unasema "hiyo ni miscalculation".

Sasa kama lengo ni kufahamu streams zinavyotengeneza pesa tutafahamu vipi kwa hesabu za makosa?
 
C
Nimekuelewa na kili kosa kua ni tatizo la kimifumo kwa upande wetu wa muhasibu.tumepokea maoni yako.
NAtumaini wana JF watagawanja kwa 10.

Swali la msingi wewe hizo pesa za online utazichukua lini maana mchezo wote upo wazi
 
C

Nimekuelewa na kili kosa kua ni tatizo la kimifumo kwa upande wetu wa muhasibu.tumepokea maoni yako.
NAtumaini wana JF watagawanja kwa 10.

Swali la msingi wewe hizo pesa za online utazichukua lini maana mchezo wote upo wazi
Kwa nini unafikiri kila mtu anahitaji pesa za online?
 
Kwa nini unafikiri kila mtu anahitaji pesa za online?
Kwa kua wewe ushajipata basi inatosha
Sisi wengine
Lengo ni kutoka kwenye Financial struggle kwenda kwenye Financial stability mpka kwenye financial Freedom
 
Nakazia hapa wakati tunawajadili tumekwenda huko kwenye digital platform zingine mbali ya YouTube
Hio tu ni spotify. Bado kuna Apple music, Boomplay, Deezer, Audiomack.
Fursa zpo nyingi tu sio kwa kuimba unaweza kuweka simulizi kama utakiweza kiingereza. Maokoto yapo
 

Tukiwakazia kitaeleweka Tu
 
Upuuzi tu umeandika yahn rema aingize dollar milion 160+ .....hesabu hamna kichwani.
 

TIKtok hii hapo
 
Kwa vile kugawanya kwa 10 hizo pesa imekuwa shida . Mkeka huo hapo
REMA



DIamond

 

Attachments

  • Screenshot_20241027-192341_Converter.jpg
    105.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241027-215441_Converter.jpg
    81.4 KB · Views: 11
Wakati tunawajadili hawa je sisi tuna bei gani bank?
Mkuu naomba maoni yako.hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…