B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
- Thread starter
- #41
Umeongea na Millard akasemaje😂Tupe na takwimu za p didy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea na Millard akasemaje😂Tupe na takwimu za p didy
AsanteNi kujifunza jinsi Degital platform zinavyotengeneza pesa. Na wewe unaweza kurecord nyimbo ukaiweka spotify uapate pesa. Mimi nafanya hivyo
Muda wa wasanii kutuambia tusiache ku subscribe umeisha. Pakua App ya Spotify tukatafute pesa na sisi. Tumechoka kuwasundikiza kwenye utajiri.Support tuliowapa inatoshaWabongo kwa kufatilia mambo za watu!
Umekosea mahesabu by a factor of 10.Hio n Miscalculation.
Lengo ni kufahamu streams zinavyotengeneza pesa sasa tuhame Youtube. Pakua App yako ya Spotify tutafute pesa
Mkuu kama una kiweza Kiingereza. Pakua tu hio App uanze kuweka topic za ku motivate au inspiration. Maokoto utayaonaAsante
Nimekuelewa na kili kosa kua ni tatizo la kimifumo kwa upande wetu wa muhasibu.tumepokea maoni yako.Umekosea mahesabu by a factor of 10.
Umepata jawabu la dola milioni 164 sehemu ambayo jawabu ni dola milionin 16.4.
Usidogoshe kosa hilo kwa kusema "hiyo ni miscalculation".
Ukikosea, kubali umekosea, halafu waache wengine ndiyo waseme kosa kubwa au dogo.
Siyo unakosea wewe halafu wewe mwenyewe unasema "hiyo ni miscalculation".
Sasa kama lengo ni kufahamu streams zinavyotengeneza pesa tutafahamu vipi kwa hesabu za makosa?
Kwa nini unafikiri kila mtu anahitaji pesa za online?C
Nimekuelewa na kili kosa kua ni tatizo la kimifumo kwa upande wetu wa muhasibu.tumepokea maoni yako.
NAtumaini wana JF watagawanja kwa 10.
Swali la msingi wewe hizo pesa za online utazichukua lini maana mchezo wote upo wazi
Nakazia hapa wakati tunawajadili tumekwenda huko kwenye digital platform zingine mbali ya YouTubeWakati tunawajadili hawa je sisi tuna bei gani bank?
Kwa kua wewe ushajipata basi inatoshaKwa nini unafikiri kila mtu anahitaji pesa za online?
Hio tu ni spotify. Bado kuna Apple music, Boomplay, Deezer, Audiomack.Nakazia hapa wakati tunawajadili tumekwenda huko kwenye digital platform zingine mbali ya YouTube
Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada.
1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY
Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini
View attachment 3136583Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe lakini kwenye platform nyingine hafanyi vizuri
Spotify hulipa wasanii pesa kwa idadi ya streaams ya ngoma walizoingiza kwenya platform hio. Na hulipa kama unavyo ona hapo chini
View attachment 3136589
UPande wa spotify Diamond ana streams
280,565,117
View attachment 3136592
Na Rema ana Streams 4,103,463,149
View attachment 3136596
KWa streams hizo.mpaka sasa Diamond kaingiza kiasi cha 1,122,260.468 Dollars sawsawa na Tsh 3,054,870,430
Kwa upande wa Rema, kwa streams hizo ameshaingizz kiasi cha 164,138,525.96 Dollar sawasaw na Tsh 446,802,082,185
(😂 kweli mziki unalipa .Na hapo tu ni Rema sio kina Wizkd, Burnaboy na davido
Wana JF na sisi tuingie kwenye usanii kwenye hizo digital platform pesa ipo)
Ikumbukwe upande wa Streams za spotify msanii anaeongoza ukanda wa Afirka mashariki ni Sofiya nzau kutoka kenya.huyo hapo
View attachment 3136635
Kgezo cha pili
2. SHOW ZA NJE YA NCHI
Upande wa Show hasa za nje ya nchi Diamond u charge 70,000 mpka 100,000 dollar sawa na Tsh 190,547,210 mpka Tsh 272,210,300. Angalia hapo chini
View attachment 3136615
Kwa upande wa Rema u charge 150,000 dollar mpka 299,000. Sawa na Tsh 408,315,450 mpka Tsh 813,908,797
Angalia hapo chini
View attachment 3136623
View attachment 3136631
Rema amekuwa na show nyingi za nje ya nchi mfano marekani, UK n.k Hasa baada ya kutoa Album yake mpya na show alizozipata kwenye kibao vchake cha Calm down baada ya kushirikiana na selena Gomez.ngoma hio ilimpa show nyingi kama kuperfom kwnye BET,grammy na Tuzo za fifa
Kwa upande wa Diamond hana show nyingi za nje ya nchi yaani Marekani, United kingdom n.k show alizozipata ni baada ya kutoa EP yake ya FOA Ikumbukwe diamonf hajatoa tena Album tangu 2018 alipotoa Aboy from tandale. Show anazo zifanya sahivi ni za wasafi festival mikoani ili kuji boost kiuchumi.
( kweli wasanii wetu bila show za mikoani na lounge au club hawana pesa maana hata huko kwenye digital platform hawafanyi vizuri wamekomalia Youtube inayoingiza pesa ndogo zaidi ni vijembe vya Insta. Mfano ulikuwa tu wa Rema hajatumika msanii mkubwa wa Naija kam wizkid, Burnaboya na Davido
UWEKEZAJI WA DIAMOND.
Diamond hupata pesa kupitia ubalozi wa makampuni mfano Airt. Pia kupitia wasafi media.
IKumbukwe Media hutengeneza pesa kupitia matangazo, Youtube post na pesa wanazolipwa kupitia media hiyo kuonyeshwa kpitia king'amuzi.
View attachment 3136633
kwa media inavyoingiza pesa itoshe kusema kua WAsafi media inaingiza pesa ndogo kwani pesa nyingi zinatumika kulipa mishahara ya watangazaji.
Wasafi media imekua ikitumika kama kumtengenezea connection n serkl pia kutangaza kazi za wasanii wa WCB (Ikumbukwe moja ya sababu ya Diamond kuanzisha Media n baada ya media z bongo kuacha kucheza ngoma zake na za wasanii wake kwenye chanel zao)
KWA KUSRMA HAYO ITOSHE KUSEMA PESA WANAZO INGIZA WASANII WA NIGERIA KUPITIA TU MZIKI(ukiachana na ubalozi na uwekezaji mwingine) NI NYINGI ZAIDI UKILINGANISHA NA PESA ZA WASANII WA BONGO WANAZOINGIZA KUPITIA USANII NA UWEKEZAJI WAO PAMOJA NA UBALOZI. Uyo alikua tu REMA JE angetumika Burnaboy, wizkid au Davido.
Mie la 7BHio tu ni spotify. Bado kuna Apple music, Boomplay, Deezer, Audiomack.
Fursa zpo nyingi tu sio kwa kuimba unaweza kuweka simulizi kama utakiweza kiingereza. Maokoto yapo

GAwanya kwa 10 hiyo pesa.Upuuzi tu umeandika yahn rema aingize dolo milion 160+ .....hesabu hamna kichwani.
Haiitaji elimu ni content yako tu na simuMie la 7B
Mkuu naomba maoni yako.hapaWakati tunawajadili hawa je sisi tuna bei gani bank?