B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
- Thread starter
-
- #61
Asante kwa maoni yako. Fedha zime Ediit iwaKwa maelezo yako mwenyewe ya kutoka Spotify streams 1,000 ni $4.
Kupata malipo unatakiwa kuzidisha namba ya streams kwa 0.004$ kwa sababu 0.04 $ ni kwa 10 streams.
Kwa hiyo kupata bei ya stream moja fanya 0.04$ Γ· 10. Utapata 0.004$, halafu hiyo 0.004$ ndiyo uitumie kwenye hesabu za per stream.
Inakuondoa kutoka $164 million mpaka $16.4 million
Ushaelewa?
Hayo si maoni yangu. Hiyo ni mathematical fact.Asante kwa maoni yako. Fedha zime Ediit iwa
Kwa sauti yangu nina hakika itabidi nilipe watu wanisikilizeπππMkuu lengo ni kuonyehsa jinsi hizi digital platform zinavyo lipa pesa. Mimi pia nina Acc huko. Njoo na wewe uwekeze kwnye mziki ni sauti yako tu
Neno lililo tumika ni 'mpka sasa' na 'total strrams'Unapiga hesabu za kitoto kana kwamba hizo hela zinalipwa kwa mara moja, si ajabu hata yeye hizo hela hana zimepita tu kwenye dashboard, kinachobaki ni maandishi tu!
Naomba maoni yako kwenye hiliHayo si maoni yangu. Hiyo ni mathematical fact.
Tofautisha maoni na mathematical fact.
Mimi sina interest na maoni, nina interest kwenye facts.Naomba maoni yako kwenye hili
Ili kujenga Tanzania, tabia hizi za wasanii zikemewe na kupigwa vita
MOja kwa moja kwenye mada Tabia ya kwanza . Kumekuwa na tabia za wasanii kutumia infuence yao kusifia chama cha kisiasa au kiongozi flani wakati wa kampen (mfano wasanii hulipwa na chama X kuwasifia kwenye majukwaa ya kisiasa na kutumia influnce yao kushawishi mashabiki zao wawapigie kura...www.jamiiforums.com
You tube bossoNline Tv kama zile za Youtube?
Upande wa spotify ni kuingiza tu sauti au nyimbo. Sauti kama redio inavyofanya kazi ukiongelea mada au topic za inspiration kw mfumo wa simulizi
Ni billion 44,,, billion 400 si kitoto ohh!!Huja kosea chukua streams zake zidisha na pesa spotify inayolipa kisha iweke kwenye Tsh
Unaweza lakini kupata pesa ndefu itakua ngumu. Maana engagement ya Afrika hailipi. Yaani kusikilizwa na kutazamwa tu AfrikaYou tube boss
Vipi fikamu ndefu au fupi naweza kuziuza kwa platform ipi
π mmakonde sikuizi ni shepu tu. Uzi wake unakujaHaya lete ya Mmakonde na Burna Boy
ππππsawaπ mmakonde sikuizi ni shepu tu. Uzi wake unakuja
Tatizo ni elimu pamoja na cash flow ya hii biashara na ndio maana wengi wanaingia kichwa kichwa hasa wasanii.PEsa ipo nyingi spotify njoo tuwekeze. Mimi nafanya podcast. Nikijuonyesha Acc yangu huta amini.chukua mfano kwa hao
Kwa hiyo unashaurije kama unataka kupata kipato kupitia hizi platformUnaweza lakini kupata pesa ndefu itakua ngumu. Maana engagement ya Afrika hailipi. Yaani kusikilizwa na kutazamwa tu Afrika
Pitia hapo
Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex
Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting Huu uzi utakua mrefu nitajaribu nielezee jsni ya kuingiza pasa katika kila platform ila kw juujuu. Aya chagua mwenyw. 1. Tiktok content creator. Unapofungua tiktok Acc...www.jamiiforums.com
Pitia huo uzi upate njia za kuingiza pesa mtandaoniKwa hiyo unashaurije kama unataka kupata kipato kupitia hizi platform