Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

Kwa maelezo yako mwenyewe ya kutoka Spotify streams 1,000 ni $4.

Kupata malipo unatakiwa kuzidisha namba ya streams kwa 0.004$ kwa sababu 0.04 $ ni kwa 10 streams.

Kwa hiyo kupata bei ya stream moja fanya 0.04$ ÷ 10. Utapata 0.004$, halafu hiyo 0.004$ ndiyo uitumie kwenye hesabu za per stream.

Inakuondoa kutoka $164 million mpaka $16.4 million

Ushaelewa?
Asante kwa maoni yako. Fedha zime Ediit iwa
 
Unapiga hesabu za kitoto kana kwamba hizo hela zinalipwa kwa mara moja, si ajabu hata yeye hizo hela hana zimepita tu kwenye dashboard, kinachobaki ni maandishi tu!
 
Mkuu lengo ni kuonyehsa jinsi hizi digital platform zinavyo lipa pesa. Mimi pia nina Acc huko. Njoo na wewe uwekeze kwnye mziki ni sauti yako tu
Kwa sauti yangu nina hakika itabidi nilipe watu wanisikilize😂😂😂
 
Unapiga hesabu za kitoto kana kwamba hizo hela zinalipwa kwa mara moja, si ajabu hata yeye hizo hela hana zimepita tu kwenye dashboard, kinachobaki ni maandishi tu!
Neno lililo tumika ni 'mpka sasa' na 'total strrams'
Na ukweli ni kwamba Views zinalipa zaidi.Ndo maana huwaoni wasanii wa nje wakifanya show za chaka to chaka wamewekeza sana kwenye Digital platform s sisi bila Show za mikoani hamna pesa
 
Hayo si maoni yangu. Hiyo ni mathematical fact.

Tofautisha maoni na mathematical fact.
Naomba maoni yako kwenye hili
 
Naomba maoni yako kwenye hili
Mimi sina interest na maoni, nina interest kwenye facts.
 
oNline Tv kama zile za Youtube?
Upande wa spotify ni kuingiza tu sauti au nyimbo. Sauti kama redio inavyofanya kazi ukiongelea mada au topic za inspiration kw mfumo wa simulizi
You tube boss
Vipi fikamu ndefu au fupi naweza kuziuza kwa platform ipi
 
You tube boss
Vipi fikamu ndefu au fupi naweza kuziuza kwa platform ipi
Unaweza lakini kupata pesa ndefu itakua ngumu. Maana engagement ya Afrika hailipi. Yaani kusikilizwa na kutazamwa tu Afrika
Pitia hapo
 
Sawa, ila umesahau kuwa Spotify na DSP hawawalipi wasanii moja kwa moja. Wanawalipa rights holders ambao ni labels pamoja na publishers au publishing administrators kisha wao ndio walipe wasanii.
Kwa mfano uliotoa hapo ni kwamba Spotify wanawalipa distributor wa Mavin Records ambao ni Caroline Digital kwanza kisha wakate percentage kutokana na mkataba. Na kwa akina diamond wanalipwa kwanza Ziiki Media kisha percentage waliokubaliana ndio inalipwa kwa wasafi kisha diamond
 
PEsa ipo nyingi spotify njoo tuwekeze. Mimi nafanya podcast. Nikijuonyesha Acc yangu huta amini.chukua mfano kwa hao
Tatizo ni elimu pamoja na cash flow ya hii biashara na ndio maana wengi wanaingia kichwa kichwa hasa wasanii.
 
Unaweza lakini kupata pesa ndefu itakua ngumu. Maana engagement ya Afrika hailipi. Yaani kusikilizwa na kutazamwa tu Afrika
Pitia hapo
Kwa hiyo unashaurije kama unataka kupata kipato kupitia hizi platform
 
Kwa hiyo unashaurije kama unataka kupata kipato kupitia hizi platform
Pitia huo uzi upate njia za kuingiza pesa mtandaoni
 
Back
Top Bottom