Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Wewe nae nipimbi tu mlamba asali kwani alichokisema hakina ukweli?
 
Hajakoma huyo.

Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Tueleze kwanza huko kisutu mashtaka yatakua ni nini?anachekewa na nani?amevuka mpaka ipi?

Acha uboya
Dawa yao ni kama iliyotumika kwa Ulimboka,siijuwi dawa gani lakini alikoma.
 
Nawee nawe, kwani ameshika bunduki? Je, amekuzuia kwenda kazini? Ukiwazuia watu kusema kwa vinywa vyao watasema kwa mikono.
 
Mleta mada ,hata kama ni mahaba au uchawa kwa mama ,umevuka mstari mwekundu.
 
Samia amevuka msatari wa ujima na ushamba kama aliokuwa nao yule mwovu wa chato.
 
Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza ni ipi? nani aliweka? lini na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…