Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hapo sasa…. Wacha wa mama washaanza kaza mishipa ya shingoKwani kuna mahali amemtaja mtu? Au neno Ikulu & Msoga hayapaswi kutamkwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa…. Wacha wa mama washaanza kaza mishipa ya shingoKwani kuna mahali amemtaja mtu? Au neno Ikulu & Msoga hayapaswi kutamkwa?
Uchawa ukizidi ni shidaa !!Relax mkuu huu ni wimbo tu,freedom of speech, politicians ni binadamu sio miungu watu,sikushangai maana umekuzwa kwenye mfumo wa uoga, kunyenyekea hawa politicians wetu, na wao kutambua hili wamezidi kutuibia, kusomesha watoto wao nje ili waje waendeleze ile status ago ya royal families, inaonekana wewe ni katili sana na furaha yako ni kuona watu wakikaa keko au segerea!President Zuma wa SA alichorwa kikatuni cha shower na aliishia kucheka tu,politicians unahitaji think skin mkuu, acha uoga
Kweli !Huu ni mtazamo ya kijamaa ambapo rais anaonekana ni mungu mtu. Kwa akili hizi viongozi wetu wataendelea kupora chaguzi na kukaa madarakani kwa shuruti, maana wanajua wakishapata madaraka watatokea wajinga wa aina yako wa kuwasujudia na kuwakinga wakipewa ukweli wao.
Tena safari ndefu Kweli kweli !!Kwa mentality hizi kama ya mtoa mada tuna safari ndefu kama taifa
Ushasema uhuru wa kujieleza. Kwani remote haiko msoga?Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Anafanya promoshen ya huo wimbo. 😅Post imetolewa na mtu mjanja sana, yaani amekazia tu yaliyoimbwa na Roma huku akiruka viunzi kijanja kana kwamba hajapenda.
Si mlisema Magufuli amezuia uhuru wa kuongea acheni watu waongee sasahiviUhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Hiyo ni tafsiri yako. Ila yeye hakumtaja mtu jina.Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Rejea hotuba ya Kikwete siku ya Msiba wa JPM Kuna kitu utanielewaHuku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Nyie ndiyo acheni kumdhalilisha huyu mama, Rais wenu..Hakuna nchi duniani inayoweza kuvumilia ukosoaji wa matusi kwa rais wake....haipo....
Tusijidanganye na iitwayo DEMOKRASIA ya ulaya kuwa kwa kiwango hichohicho cha kwao basi imeenea kwetu na tunaweza kuibeba 100p kama wao.....
Si lazima tafsiri ya DEMOKRASIA ya nchi za magharibi iweze kutekelezwa na kila nchi duniani....hapana huu ni uongo....
DEMOKRASIA ya magharibi inaendana na maisha yao ,TAMADUNI ,hulka ,mitazamo na vingi tu ambayo binadamu hatuwezi KUFANANA hata kidogo.....
Afrika ina TAMADUNI na maadili yake ambayo MATUSI haswa kwa waliotuzidi umri na walio viongozi wetu HAYARUHUSIWI/HAYAKUBALIKI hata chembe......
Huwezi kumdhalilisha rais namna vile alivyofanya.......
#SiempreJMT[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nini? Kimo au?Jiongeze
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Huyo fala si ndiyo yule alikuwa apotezwe na Magu? Kumbe Magu alikuwa sahihi, kwanza wachunguze uraia wake.
Hajataja jina la Rais Wala jina la Rais mstaafu,kitu gani kinakuuma?Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Tueleze kwanza huko kisutu mashtaka yatakua ni nini?anachekewa na nani?amevuka mpaka ipi?Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.