Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Kasome maana ya "political tolerance" then ufute huu Uzi umeze vidonge vyako,ulale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange aliwavurumisha miaka minne na mlishindwa kumkamata mwisho wa siku aka shake hand na No 2 ambae Leo ndio madam president. Subil Roma ataposhake na Mr arrangement ndipo akili itakukaa sawaUhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Labda wakate kichwa cha mmeo!Huyu wa kukatwa kichwa tu, sio msanii wa kweli
Usimsingizie mzee wa WATU!Kwani uongo???Hata Magufuri alikuwa anaongoza kwa Remote ya Ali Hassan Mwinyi ili avurunde na kweli alivurunda na hata Mama Samiah atavurunda kweli kweli kama Kikwete ndiyo icon yake.
Acha akili na roho ya Mwendakuzimu wa awamu ya 5. Kama akivuka mstari wapo wahusika watachukua hatua na sio wewe mshamba fulani kuchochea kama Cyprian Musiba. Kamwe mama hataki kwenye utawala wake kuwa na watu kama Musiba. Na pia hana huo mpango wa kuzuia haki ya watu kuongea.Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Huyo aliyetaka kumpoteza Roma yeye yupo wapi sasa ?Huyo fala si ndiyo yule alikuwa apotezwe na Magu? Kumbe Magu alikuwa sahihi, kwanza wachunguze uraia wake.
Kesho aende kisutu Kwa kumudharau madame kupitia kivuli Cha wimbo wa romaHili umesema wewe. Yeye kasema "..remote ipo msoza..." na sio msoga wala hajataja majina.
Ila kama hadi wewe unaona hivyo basi inawezekana wewe uko sahihi msoga ndo kuna remote. Kwa maana nyingine wewe ndo uchukuliwe hatua kwa kusema remote ipo msoga
Weka ushahidi tafadhaliKaimba ukweli kabisa.maamuzi yeyote yanayotoka ikulu ni maelekezo toka msoga
Mkuu tatizo unalo na si dogo.Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.
Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.
Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).
Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.
Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.
Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.
Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.
Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Sina tatizo labda ni wewe una shida mahali kama kumtweza Rais na taasisi yake ni poa kwako.Mkuu tatizo unalo na si dogo.
Shaban Robert mkuushebby roby ndio nani?
OKShaban Robert mkuu