Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.

Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Naunga mkono hoja.Kudhalilisha mamlaka na Viongozi sio ukodoaji.
 
Yaani nyie nzi wa mwendazake mnataka kuhamia kwa Mama na uchonganishi wenu pumbafu!
 
Weka ushahidi tafadhali
Mambo mengine hayahitaji ushahidi ili kuyathibitsha..ni sawa unaona kwa macho kabisa kuwa hii ni nyeti ya mwanamke halafu anakuja mtu anakuambia thibitisha kama ndio...kwani ye hana macho?!.
Mijitu ya JK imerudi yote serikalini hata yale majizi, JK siku hizi anazurura tu duniani kwa gharama ya kodi zetu tofauti na wakati wa Jiwe.
Haya ushahidi huo hapo
 
Shaban Robert mkuu
My bad nilitaka kusema kusadikika cha shaban Robert nkajikuta nmepoteana maana mfalme juha ni popular kuliko kusadikika halafu Shaban Robert ni popular kuliko Farouk Topan ubongo ukajikuta unafanya cross multiplication ya kizembe😁
 
Mwenzio Musiba yupo anawayawaya huko wewe ndio umetumwa labda tujiulize nyuma yako wewe ukiacha makalio yupo nani?
 
Usimsingizie mzee wa WATU!

Yaani kwa haiba ya mwinyi YUPO hivo KWELI!!!?

Mi SIDHANI labda alikua anampigia chapuo mwanae kule visiwani!!
Kumbe ndiyo maana walikuwa wanaelewana sana hata ikafika mahali Rais Mstaafu Mwinyi akasema tulichelewa sana kumpata Rais kama Magufuri na kutaka Katiba ibatilishwe ili Magufuri atawale milele.
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.

Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Mnaturudisha kuleeeeeee😄😄😄 Samia hayuko hivyo mkuu

Roma kasema remote iko msoga hatuja skia akimsema mama Samia😄😄

Tumeskia pia akimsema anamkubari na atamg'ata skio

Hatuja skia akisema hajui kuongoza😄😄😄

sema tu Kuna sehemu alikosea kidogo aliposema hata mvua zikinyesha mnasema anaupiga mwingi😂😂😂😂🙏🙏🙏
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.

Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
Na huyo ANAYECHEKA ni nani? Teh...teh..tehe...
 
Mnataka kuskia nyimbo za kumsifu na kumuabudu tuu akikosolewa mnabanwa haja why? Sanyingine ni mwanaume Huyo analalamika mtu kukosolewa!!!
Hizo tabia za kijinga zakushindwa kuwa critical zimefanya Kenya mpumbafu mmoja kuuwa watu Kwa njaa ya kujitakia!!
Hakuna binadamu mkamilifu,kukosolewa ni jambo sahihi kabisa!!
 
Kama mipango inatoka msoga baridi maana miaka Ile alivyokuja Bush tulijua alikuja kutupa VISA zetu tuwaachie nchi Yao maana ilikuwa balaa migao ya umeme ,maji, ajira,songas, escrow,daaah kama vipi mchakato uendeleee na kulikuwa na New kigamboni city watu wakauza maeneo yao Kwa hofu kwakweli inasikitisha Sana nchi hii huku Zanzibar walikatiwa umeme miezi mitatu enzi zile hazisahauliki.
 
Hili umesema wewe. Yeye kasema "..remote ipo msoza..." na sio msoga wala hajataja majina.

Ila kama hadi wewe unaona hivyo basi inawezekana wewe uko sahihi msoga ndo kuna remote. Kwa maana nyingine wewe ndo uchukuliwe hatua kwa kusema remote ipo msoga
Iishi milele JamiiForums
Kuna watu wanapiga nondo mbaka unaweza jikuta wewe TAKATAKA TU
 
Na yeye alishahama nchi?Ngoja niusikilize kwanza nitarejea
 
Mambo mengine hayahitaji ushahidi ili kuyathibitsha..ni sawa unaona kwa macho kabisa kuwa hii ni nyeti ya mwanamke halafu anakuja mtu anakuambia thibitisha kama ndio...kwani ye hana macho?!.
Mijitu ya JK imerudi yote serikalini hata yale majizi, JK siku hizi anazurura tu duniani kwa gharama ya kodi zetu tofauti na wakati wa Jiwe.
Haya ushahidi huo hapo
Huo ndio ukweliiiiii[emoji106]
 
Uhuru wa kujieleza haumaanishi kuvuka mipaka. Uhuru wako usivuke mipaka na kumkwaza mtu mwingine.

Nimesikia wimbo Mpya aliyouachia Msanii Roma Mkatoliki anayeishi ughaibuni akisema, "Roma tunakumisi rudi nyumbani". Sina hakika kama wapo wanaomkosa Roma.

Yote ni tisa. Kumi katika mistari ya Roma ambapo amevuka mstari mwekundu ni pale anaposema, "Mama (Samia) anaongoza yuko Ikulu lakini rimoti iko Msoga (Jakaya Kikwete).

Huku si tu Roma ametweza taasisi ya Rais lakini pia amemdharau na kumdhihaki Rais Samia Suluhu Hassan kwamba hawezi kuongoza hadi ashikiwe akili na Rais mstaafu Jakaya Kikwete jambo ambalo ni uzushi, uongo na upuuzi wa kisanii.

Roma haamini katika uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jambo ambalo limethibitishwa na jumuiya zote za Kimataifa kuwa anaweza na ameuthibiyishia Ulimwengu kuwa anaweza tena hata kuwapiku watangulizi wake.

Wimbo unatakiwa kupigwa ban kokote na popote, kuanzia mikusanyiko ya watu: baa, maafali, harusi, misinani, vyombo vya usafiri na hata watu binafsi nadhani TCRA wanaweza. Basata isilale huku Rais Samia Suluhu Hassan anadhalilishwa hadharani na msanii Roma.

Nani yuko nyuma ya Roma? Kiburi cha kumdhihaki Rais anapata wapi? Kwanini anachekewa? Kwani hafikiki? This is too much. Roma akamatwe na kuletwa hapa nchini tukutane Kisutu kwa Pilato. Ova.

Zaidi, soma: Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki
ni kweli amevuka mstari mwekundu kwa kuimba vitu ambavyo havina ushahidi lakini mama atamsamehe
 
Back
Top Bottom