Msanii Ruby kuwa msanii wa kwanza kuburuzwa mahakamni kwa kutumia wimbo wa msanii mwenzie kujiingizia kipato? Wasanii wanalakujifunza? COSATA je?

Msanii Ruby kuwa msanii wa kwanza kuburuzwa mahakamni kwa kutumia wimbo wa msanii mwenzie kujiingizia kipato? Wasanii wanalakujifunza? COSATA je?

Waziri juzi kasema MC anayetumia nyimbo kusherehesha harusi n.k. nao watachajiwa wamlipe aliyeimba.. yaani wakipiga tu nyimbo ya msanii watalipa..

Kasema wanalipwa mamilioni kwa kazi moja na walioimba hawapati chochote..

Kasema hili wanalipanga kwa sasa ili lije lianze..
Nyimbo za kinaija na South Africa ni nyingi mnooo zinatosha sana kuamsha sherehe mixer na masebene. Asituchoshe
 
Back
Top Bottom